huu uzi wale wa lumumba hawaonekani ng'o.
Ziwekwe bilioni 306 halafu tanesco wadai bilion 321 kivipi wakati zilizokuwepo tangu mwanzo ni bilioni 306?
Hivi ripoti halisi haiwezi kupatikana tulinganishe na hio watakayoichakachua.
Kamata mwizi meeeeen
Tuondoe tofauti zetu tuipiganie Tanzania... tusidanganywe kwa watu kujiuzuru... Tuhakikishe fedha zinarudi na iundwe mahakama maalum ya kuwahukumu wahalifu hawa in a very short period of time.
Hii ni hatari......
Namuomba mwenye copy ya ripoti kama anaogopa anitumie kwenye PM, mimi nitaiweka hadharani. Wazalendo bado tupo nchi hii. We cant let the country go to the dogs!
Escrow lazima iondoke na mhongo na vigogo wa ccm.