Ha ha ha kuna vijana walikuja humu kwa kazi maalumu kwa ajili kuwasafisha IPTL na kuwapaka matope akina Kafulila sijui wako wapi akina mtotowambwa na wengineo njooni mseme hii ripoti si ya kweli na muendeleze zile sinema zenu za kwamba eti IPTL ya huyo Singasinga itaanza kuuza umeme Kenya......
Last edited by a moderator: