Hivi nyie watu, does it real matter mtu kuwa na degree ili awe kiongozi? Mbona tuna maprofessor kibao wamepewa nafasi wakafanya madudu kabisa? Si bora hata huyo Lukuvi ameonyesha kwa vitendo kwamba anao uwezo wa uongozi hata kama hana kisomo kikubwa?dont stare at it there is more to come from mkwere,ssa sijui hyo wizara aliyopewa ataongoza nni?
Ni bora tukaongozwa na mtu ambaye tunajua hana viwango vya elimu lakini ana uwezo wa kuongoza badala ya kuongozwa na mdanganyifu wa elimu ilihali hajui kuongoza
Msanii, UWT ipo na tena ipo makini sana. Kwa kazi moja tuu,kuiba kura za wengine ili kuhakikisha waliopo madarakani hawaondoki hata kama wananchi hawawataki.Halafu mniambie kuna usalama wa Taifa.
Jakaya alituambia kuwa safari hii angechagua mawaziri waadilifu, sasa mimi kwa uelewa wangu uadilifu ni pamoja na kuwa mkweli kuhusu elimu uliyopata na sio kutumia vyeti vya kugushi!! Sasa ilikwisha wekwa bayana kuwa watu kama Emmanuel Nchimbi , Makongoro Mahanga na Lukuvi kuwa hawa jamaa wanatembeza vyeti vya elimu yao ambavyo ni feki kwahiyo sio waadilifu; na kufuatana na matamshi ya Kikwete hawa jamaa wasingekuwa kwenye baraza lake la mawaziri. Celina Kombani nae ana mawaaa mengi tu pamoja na kuhusishwa na kushirikiana na wafanyakazi wa halmashuri kuiba fedha za miradi huko Bagamoyo anakotoka Rais, lakini hata hivyo juu ya uoza wote huu Jakaya amemuona bado ni muadilifu na kumkabidhi kuongoza wizara ya Sheria!!Sisi yetu macho. Naamin mwenye nchi atasikia...maaana hii sasa itakuwa ni hatari kwa Taifa.
naunga mkono hoja hii mkuu, hapa tunaangalia ufanisi wa kazi zaidi. Kama wenyedegree za kweli ni akina chenge si bora hata ya hawa waliopo kwa jk.hivi nyie watu, does it real matter mtu kuwa na degree ili awe kiongozi? Mbona tuna maprofessor kibao wamepewa nafasi wakafanya madudu kabisa? Si bora hata huyo lukuvi ameonyesha kwa vitendo kwamba anao uwezo wa uongozi hata kama hana kisomo kikubwa?
Ndugu zangu kula sana kitabu hakuna uhusiano wowote na karama ya mtu katika uongozi. Tumpe nafasi, tupime ufanisi wake, then tulinganishe na shule yake.
hawa watu niwakweli kutokana na vyuo walivyopata degree sema havina sifa but wanadegree!jakaya alituambia kuwa safari hii angechagua mawaziri waadilifu, sasa mimi kwa uelewa wangu uadilifu ni pamoja na kuwa mkweli kuhusu elimu uliyopata na sio kutumia vyeti vya kugushi!! Sasa ilikwisha wekwa bayana kuwa watu kama emmanuel nchimbi , makongoro mahanga na lukuvi kuwa hawa jamaa wanatembeza vyeti vya elimu yao ambavyo ni feki kwahiyo sio waadilifu; na kufuatana na matamshi ya kikwete hawa jamaa wasingekuwa kwenye baraza lake la mawaziri. Celina kombani nae ana mawaaa mengi tu pamoja na kuhusishwa na kushirikiana na wafanyakazi wa halmashuri kuiba fedha za miradi huko bagamoyo anakotoka rais, lakini hata hivyo juu ya uoza wote huu jakaya amemuona bado ni muadilifu na kumkabidhi kuongoza wizara ya sheria!!
Halafu mniambie kuna usalama wa Taifa.
Mary nagu!