Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

acheni upekuzi. Kila kitu kimepangwa huyo mtikila anajua anachofanya!
Kagame na watu wake walianza kama waongo lakini sasa inaelekea kuwa na ukweli. Hawa Watutsi ni mabingwa wa ujasusi, habari zao zaweza kuwa kweli. Pili mnapaswa kujua Mtikila si mwanasiasa tena ni mtafuta pesa. Kama wanakuja na noti, hakika atawaunga mkono. Kuthibitisha kwamba Mtikila yu karibu na wapinga serikali ya kAgame, someni waraka wake unaohusu operesheni ya wahamiaji, wafugaji wa Kinyarwanda mkoani Kagera na Geita.Yumo!!
 
Asante sana kwa taarifa mkuu. Nilisoma hii ripoti mahali fulani. Pia nikasoma kuwa kuna wana "usalama" wa Tanzania wali-demand US$5million for the "general" Bigaruka wakanyimwa, dau likashuka mpaka $3million. Inasemekana amekamatwa na DMI agents akiwa Kigoma. Hongera sana Pres Kagame na DMI yako makini kwa kumkamata gaidi huyu hatari kwa usalama si tu wa Rwanda bali pia eneo la maziwa makuu. Ushauri wa bure, moja Mtikila achukuliwe hatua kwa kuwakirimu magaidi wa FDLR na kutetea mauaji ya halaiki. Pili, Tanzania tusikubali ardhi yetu itumiwe na hawa wauaji wa FDLR.

Kwa hiyo kawanunua Usalama wa Tanzania wamkamatie?
 
Kwa hiyo kawanunua Usalama wa Tanzania wamkamatie?

Zanzibar-Nyamwezi kiongozi hapana sijasema hilo. Ripoti niliyoisoma inadai kuwa kuna wana usalama walipomuweka huyo FDLR genocidaire under house arrest waliwafamisha FDLR ya kuwa kama wanataka aachiwe ni shurti walipe hizo US$5million. Zilipokataliwa, dau likashuka mpaka US$3million. Sasa sijui kama zilitolewa au la. Lakini ripoti inasema kuwa Bigaruka alidakwa akiwa Kigoma na DMI. Uhusika au ushirikiano wa Mtikila na wana usalama siufahamu na sina habari nao kwa kuwa haunihusu.
 
===>Angalia kucha zako na macho yako,wamejaa tele humu JF!
 
Inawezekana Mtikila naye hana akili. Mtu huyu ana ulinzi gani wa kujiamini hadi kukaribisha magaidi kwa siri na kukaa nao nyumba moja?
 
At the beginning of his stay in Dar es Salaam, Bigaruka stayed in the house of Tanzanian reverend Christopher Mtikila, which the reverend acknowledged to the UN Group (see annex 42). In early February, after these meetings, Bigaruka disappeared. The Group continues to investigate the matter.

Mtikila ni mtu mjanja sana mwenye akili mno mwenye uwezo mkubwa wa kucheza na hoja.Aweza kuwa kaamua kuinunua hii kesi hata kama haipo ili acheze ligi na watu hao wa UN.Mwisho wa siku watashangaa wenyewe.
 
hivi unyonge unaujua?
soma mada tulia changia sio una kuja na mada mpya ndani ya mada
 
Mtikila ni mtu mjanja sana mwenye akili mno mwenye uwezo mkubwa wa kucheza na hoja.Aweza kuwa kaamua kuinunua hii kesi hata kama haipo ili acheze ligi na watu hao wa UN.Mwisho wa siku watashangaa wenyewe.

hana akili, ni suicide bomber wa namna yake

na anatumika tu kama joyce wowowo
 
===>Angalia kucha zako na macho yako,wamejaa tele humu JF!

Mkuu Cheche he he he. Ah mimi siogopi binadamu wenzi wangu. Waje tu, Mlinzi wangu Mungu and this glock I carry around. so they should know it's gonna be a bloodbath ha ha ha. Jokes aside, hizi ripoti zipo kwenye mtandao na hapa tunajadili masuala yahusuyo nchi yetu kama wazalendo. Siamini kuwa "Usalama" wamekuwa Amin's State Research Bureau manake ndio ilikuwa kazi yao silencing "dissent" perceived or otherwise. Thanks for the heads-up mkuu, let me go grab my gat isiwe tabu.
 
Hilo ghorofa nalifahamu sana hakuna Mtanzania wa kawaida anaweza jenga tena miaka hiyo. Huyu jamaa yako kaanza mishemishe muda mrefu sana. Akabanwa,akakata tamaa mpaka walipokuja wapiga deal akina RA ndipo akaanza kufufua gofu lake!

Umesema ukweli mkuu. Hili gorofa ni la muda mrefu likiwa limekaa unfinished na likageuka gofu. Sasa kwa kiasi fulani linaonekana limekamilika na watu wanaishi. Ni gofu linalofahamika sana Mikocheni B na kwa wale wapenzi wa vitu virefu hili gorofa lipo karibu na baa inayoitwa Limbachia juu kidogo ya shule ya msingi Ushindi.
 
Zanzibar-Nyamwezi kiongozi hapana sijasema hilo. Ripoti niliyoisoma inadai kuwa kuna wana usalama walipomuweka huyo FDLR genocidaire under house arrest waliwafamisha FDLR ya kuwa kama wanataka aachiwe ni shurti walipe hizo US$5million. Zilipokataliwa, dau likashuka mpaka US$3million. Sasa sijui kama zilitolewa au la. Lakini ripoti inasema kuwa Bigaruka alidakwa akiwa Kigoma na DMI. Uhusika au ushirikiano wa Mtikila na wana usalama siufahamu na sina habari nao kwa kuwa haunihusu.

Kuna kitu unatuficha hapa
 
he most significant event of the year was the military defeat of the
Mouvement du 23 mars (M23) rebel moveme
nt in the Democratic Republic of the
Congo and its flight to Rwanda and Uganda. The Group of Experts on the
Democratic Republic of the Congo documented human rights abuses by M23 during
2013 and confirmed that M23 received various forms of support from Rwandan
territory, including recruitment, troop reinforcement, ammunition deliveries and fire
support. At the time of writing the present report, the Group had received credible
information that sanctioned M23 leaders were
moving freely in Uganda and that M23
continued to recruit in Rwanda
 
Back
Top Bottom