Rev Masanilo

Dah....Hizo nguvu za kuwa mchungaji umezipata wapi bwana?Ngoja FD8 aje humu

mgawaji ni Mungu, wala hatoi taarifa kwa umma, bali humfanya mtu vile apendavyo
tena haulizwi wala kuhojiwa, maana hapana aliyejuu zaidi yake,
hahaaaaa tumsapoti Rev Masanilo katika hili wala hatupaswi kuhoji
kekeeeeekeeeeeee
 
Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu!
 
Back
Top Bottom