Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

Kama ni kushusha tu hayo mafaili njia rahisi tafuta wanao download game kwenye playstation hii michezo ya kuchezea kwenye Tv, wao wanatumia Fibre za Zuku, Ttcl, Go fiber, Liquid home, n.k. hizi zinatumia mkonge hakuna kikomo cha Gb ila tatizo ni sehemu chache kuna hizo nguzo za fiber.

Ni kawaida game moja kuwa Gb 30 hadi 80, games kama 9 wanakuingizia kwa kudownload kwa elf 80 na hapo kuna mambo yao ya kukusetia accounts za game, kwa hio huenda kwa hizo gb 150 labda watakuchaji elf 10 hadi 20, ila usishangae ukipigwa 30 inatagemeana na utavoenda.

Mfano huyu yupo Mbezi Mwisho nimemkuta huko Fb

 
Kilimanjaro Kempinski.
 
Shukran mkuu acha nijaribu.
 

Mi nataka kujua una download kitu gan asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…