TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Niahidi hutaniumiza hivi. Stay strong...

I love my wajukuuz
Babu unafanya nikose cha kuandika,, kifo kinatisha maana nikitizama nyuma,, baba ndg jamaa na marafiki walioondoka na sijawasikia tena,, huwa napata hali ya kukata tamaa,, unapozaliwa ujue kuna kufa pia,, hivyo ndivyo tutapitia wote tuliozaliwa na mwanamke
 
Doh... mjukuu ulipotelea wapi? Babu kakumisi kweli. Nafurahi kuona uko poa. Please jipange usidedi kabla yangu. Nimechoka kuumia.....

Babu loves you
Nipo babu, mapambano tu duniani yanazidi tuna adimika.

Yoo! kudedi kuna kujipanga babu? Ni mipango ya Mungu siku akikuhitaji anakutwaa tuπŸ₯ΉπŸ₯Ή

Mungu akulinde upokee vitukuu vyako kwanza 😍
 
Mwanamke akivuka miaka 30 hajapata mtoto wa kwanza possibility ya kupata complications kwenye mimba yake ya kwanza inaongezeka. Above 35 hajapata mtoto wa kwanza ni hatari zaidi maana uzee ushaanza kuingia mifupa ya nyonga imeshaanza kujibana. Isitoshe cardiovascular issues, presha na magonjwa mengine yanakuwa yako kwenye onset tayari.

Inashauriwa sana mwanamke above 30 na hasa above 35 mimba yake ya kwanza awe chini ya uangalizi mzuri wa madaktari; ikibidi afanyiwe hata induced labor under controlled conditions - hasa mwenye hali kama ya marehemu.

Anyway, apumzike salama. Na nyie wanawake mama zetu. Mungu Awabariki sana. You go through hell kutuletea hivi vitoto vyetu. We love and respect you dearly.

RIP Valentina πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Ungenyamaza tu mkuu, kuna mengi hauyajui.
 
Haswaa sisi wenye umri wa miaka 40 huko,tunakufa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…