Rest in Peace Regia Mtema

mala ya mwisho nilikua na regia kwenye show ya vinega pale kinyama tukitoa updates wote hapa jf. hadi sasa hivi navuta picha jinsi alivyo kuwa anaondoka miondoko ya hiphop wakati anamsindikiza sugu jukwaani. hii dunia jamani. Mia

Acha tu ndugu yangu,juzi nakumbuka nilisoma thread yake hapa JF, ki ukweli mwili wangu unahisi kufreeze.
 
Isaiah 57: 1 "The righteous perishes, and no man takes it to heart; the merciful are taken away while no one considers that the righteous is taken away from evil."
 
Jamani chanzo cha kifo chake ni nini?naona imekua ghafla mno juzi kati hapa wakati wa msiba da Halima mchuka alichangia kwenye ile thread ya pascal mayala..,je ni ajali ndio imekatisha maisha yake au aliugua ghafla?habari mbona haijitoshelezi,naona picha nyingi kuliko habari
 
Mkuu ni ajali ya gari iliyotokea leo akiwa anaendesha gali yake mwenyewe. aliovertake gari ile anarudi kwenye upande wake gali ikamzidi nguvu ikavaa kichaka. ni baada ya kuona gari inakuja mbele.mia
 
mala ya mwisho nilikua na regia kwenye show ya vinega pale kinyama tukitoa updates wote hapa jf. hadi sasa hivi navuta picha jinsi alivyo kuwa anaondoka miondoko ya hiphop wakati anamsindikiza sugu jukwaani. hii dunia jamani. Mia

jamani..ndugu zangu amakweli dunia mapito..yaani kifo chake kimeniuma sana..ehe mwenyezi mungu tunakuomba umfute kwenye vitabu vya hukumu..amina
 
You were beautiful and brilliant. God's garden must then be very beautiful. RIP buddy.
 
I cry for this young politician. She got her demise while very young! Lakini tunapaswa kushukuru kwa kila jambo!
 
attachment.php

Gari aina ya VX Limited Toyota Land Cruiser lilopinduka na kuchukua roho ya Mhe. Regia Mtema mapema leo, kama lilivyonaswa na mtandao huu mara…

​
attachment.php

Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. freeman Mbowe akiwa katika hospitali ta Tumbi, Kibaha wakati wakifuatilia mwili wa Mhe. Regia

Kwa hisani ya:
News - Global Publishers
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    84.1 KB · Views: 284
  • 2.jpg
    2.jpg
    26.7 KB · Views: 275
Back
Top Bottom