Rest in Peace Regia Mtema

Rest in Peace Regia Mtema

safari ya dada Regia hapo ni Tumbi wakiwa wanampeleka muhimbili ..picha kwa hisani ya mama yetu Josephine
View attachment 45295


Kazi yake Mola ...., Haina makosa....,

Ni safari ya kila mtu, yeye katangulia na sisi tutafuata..., Cha muhimu ni kuzingatia kuwa tutajiandaa vp na safari hiyo

Bwana ametoa, na yeye ametwaa jina lake lihimidiwe..


POLENI WAFIWA WOTE NA WATANZANIA KWA UJUMLA
 
Kwa sisi Wana Kilombero kwa kweli Tumempoteza Shujaa /Kamanda wetu wa Mapambano .
Ambaye alikuwa mstari wa mbele katika harakati za ukombozi wa Wilaya yetu.
Mwana wa Pakaya, pumzika kwa amani, hatutakoma kukulilia
 
Umetuachia Historia, na Tutakukumbuka Daima.
R.I.P Regia Mtema.
 
daima tupo na ww dada Regia Mtema,mungu ailaze roho ya marehem pema peponi, amen!
 
RIP Rejia,Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe daima.
 
RIP dada Regia! You were the REAL GREAT THINKER in JF. We gonna miss you!
 
sasa uhuu mguu jamani alikua an drive vp,mafuta na brek alikua anaknyaga vipi?vitu vingine ata sisi pia tunaweza tukawa tunachangia kwa namna moja au nyingine bana aghaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom