ahaaa sijui atazikwa twiter au insta ngoja tuoneHahaha msiba upo whatsapp
kafa kweli ? sio utapeli huu maana msiba upo whatsup hatupewi locationR.I.P
Siamini kama ni wewe mamii unaleta utani kwenye msiba tena kwa MTU ambaye alikuwa Hazina ya Taifa.ahaaa sijui atazikwa twiter au insta ngoja tuone
umetumwa sio bure ,unajua tulikuwa tunaongea nini mpaka nikaaandika hivo.kalalwe hukoSiamini kama ni wewe mamii unaleta utani kwenye msiba tena kwa MTU ambaye alikuwa Hazina ya Taifa.
Ahahaah ngoja akuje kujibukafa kweli ? sio utapeli huu maana msiba upo whatsup hatupewi location
M.A.P Pebble aka Machine aka T.OFrank shega, Charles simkonda hizi namba nyingine kabisa toka pale iyunga zilibamiza point 7 na advance zikapiga 3 makini
RIP frank shega bro.

Acha kufuru mkuuDah chama langu boyzia nimemaliza 2003 PCM. Majitu yenye akili yanatangulia yaliyopata zero yanadunda kitaaa....kweli Mungu ndiye anayejua siri ya yote.