TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

huyu jamaa si amemaliza juzi juzi tu hapo udsm?
mbona nilikua namuona kama ana afya njema tu
 
Whaaaaat frank amefariki imekuaje mazee nilikuwa nae iyunga huyu jamaa very talented guy especially academic daaah soon sad aisee
 
huyu jamaa si amemaliza juzi juzi tu hapo udsm?
mbona nilikua namuona kama ana afya njema tu
huyu dogo kafa kweli jamani au madogo wamekosa mkopo wanataka hela?
Amepiga telecom udsm kama sikosei
Inamana wanao stahili kufa ni wale wenye afya mgogoro!? Lowassa vs Sitta
R.I.P kamanda
Aliyewahi kuwa Tanzania One Form six 2009 PCM toka Tabora boys Frank Shega,amefariki Dunia,kwa wale waliosoma Iyunga sec2003 Mpaka 2006,na Tabora boys 2007/2009 sio mgeni kwao,juhudi za kuchangisha kwa ajili ya Rambi Rambi zinaendelea katika group la WhatsApp 0713 268 218 wasiliana na admins wa group kupata taratibu zaidi za mazishi
 
Back
Top Bottom