TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

Mwanga wa milele umuangazie...apumzike kwa amani.

Ila kuweka namba za simu za watu hadharani naona hujawatendea haki kabisa na sidhani kama wana taarifa kuwa umewaweka hewani hapa JF
Nami nimelishangaa hilo, kwanini asingeweka angalau link ili wahusika waende huko kuliko kuanika namba zao namna hiyo!!
 
Mwanga wa milele umuangazie...apumzike kwa amani.

Ila kuweka namba za simu za watu hadharani naona hujawatendea haki kabisa na sidhani kama wana taarifa kuwa umewaweka hewani hapa JF
Mniwie radhi wakuu,nimejiyahidi kuziwekea vivuli imeshindikana,naomba mods wanisaidie kuondoa image yenye namba za Simu
 
R.I.P. hilo jina nimeshtuka sana maana namfahamu jamaa mwingine ana majina kama hayo! Ila picha sio yenyewe.
 
Duh,nimekuwa Tabora School 2000-2003 O-Level and most of my friends been there up to 2006.
Imeniuma as if i personally knew this young bro..au nina ushuleshule
M.A.P Frank
 
Aliyewahi kuwa Tanzania One Form six 2009 PCM toka Tabora boys Frank Shega,amefariki Dunia,kwa wale waliosoma Iyunga sec2003 Mpaka 2006,na Tabora boys 2007/2009 sio mgeni kwao,juhudi za kuchangisha kwa ajili ya Rambi Rambi zinaendelea katika group la WhatsApp 0713 268 218 wasiliana na admins wa group kupata taratibu zaidi za mazishi
Masahihisho T. O 2009 FORM SIX PCM alikuwa ni Aude Kileo.
 
Hapo ndo utajua makusudi ya Mungu si ya wanadamu. Wanaweza kusaidia taifa labda anawachukua, kuna watu wanaliibia taifa bado wanadunda na wanasema waeza kushitakiwa ila wasifungwe. Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom