TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

Frank Shega A.k.a JEDA aliwahi kushika nafasi ya tatu (3) Taifa akitokea shule ya sekondari ya wavulana Tabora (Tabora Boys) katika mchepuo wa PCM, Wana CoET UDSM ni mashaidi hata AUDe Kileo ni shaidi wa hili maana ni maclass mate UDSM katika course ya BSc. in Telecommunication Engineering.
Mtoa mada kusema ni mmoja wa ma Tanzania One hajakosea kabisa.

Lengo la mtoa mada ni Rambi Rambi na kuwafahamisha Shega ni nani, pia alikuwa ni mfanyakazi wa Vodacom mpaka umauti unamfika usiku wa kuamkia jana jumapili.

tunaomba tushirikiane kwa pamoja kwa hili suala na mwili wa marehem utaagwa leo katika hospital ya Lugalo kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa sita na saa saba mwili wa marehemu unatarajia kusafirishwa kuelekea Mbalizi-Mbeya kwenye nyumba yake ya milele.
ukiwa na nafasi tafadhali fika, shughuli ni watu na watu wenyewe ndo nyinyi.

Rest in Peace Shega.
Hivi hawa vodacom wanashindwa kugharamia mazishi ya mfanyakazi wao, VODACOM PUMBAVU KABISAA.

R.I.P Frank
 
Unaonekana ulitia mswaki wewe, staki ligi mkuu, R.i.p Akili kubwa
Hahhaha MU kuanzia kibasila kimweri na mirambo mapumziko bweni pendwa la maria nyerere hakuna kitu niliacha ila naheshim hata aliyepata zero
 
Tanzania One asie hata na Pamphlet (achilia mbali machapisho kama vitabu au academic article) au hata innovation fulani kwa jina lake. Uki-Google unakutana na jina kwenye Facebook daaah. Wakati mwingine tunazidisha chumvi zisizo na sababu. "Tanzania One wa kukariri"
 
Dah chama langu boyzia nimemaliza 2003 PCM. Majitu yenye akili yanatangulia yaliyopata zero yanadunda kitaaa....kweli Mungu ndiye anayejua siri ya yote.
Miafrika mingine ni ya hovyo hovyo sana , kwahiyo ulitakaje? Kama unaweza si ufe kwa niaba yake? Wasio na akili wao ndio wanastahili kufa? Kama unajiona una akili basi tulia na akili zako hizo za kuvukia barabara.
 
Tanzania One asie hata na Pamphlet (achilia mbali machapisho kama vitabu au academic article) au hata innovation fulani kwa jina lake. Uki-Google unakutana na jina kwenye Facebook daaah. Wakati mwingine tunazidisha chumvi zisizo na sababu. "Tanzania One wa kukariri"
Ingetakiwa ukute article za kufa mtu
 
Sasa alikuwa Vodacom au Mactech?
Point yako ni nini hasa???
Huujuui mfumo wa operations za makampuni ya simu hapa TZ au unajitoa tu ufahamu??
Mpaka umauti unamkuta 2017 alikuwa akifanya kazi ofisi za Vodacom Mlimani City.
Alikuwa SLM TX.
Employed under Makteck ambaye ni subcontractor wa Nokia. Na Nokia ni contractor wa Vodacom TZ PLC.

Again point yako ni nini hasa???
 
Kwa maelezo hayo nimekulewa kuwa jamaa alikuwa ni muajiriwa wa kampuni ya Maktech. Sidhani kama ku-outsource kumemfanya awe muajiriwa wa Voda.
 
Kwa maelezo hayo nimekulewa kuwa jamaa alikuwa ni muajiriwa wa kampuni ya Maktech. Sidhani kama ku-outsource kumemfanya awe muajiriwa wa Voda.
The guy is dead, sidhani kama mjadala hapa ni kuwa alikuwa muajiriwa wa vodacom au maktech. It doesnt add any value. Ata kama angekuwa muajiriwa wa microsoft. He is no more.
The point is alikuwa very bright na moja kati ya accomplishment yake 4 years baada ya kumalizia chuo ni kuwa aliwahi kufanya kazi ya operations za Vodacom MS chini ya Nokia-Maktech. Haijalishi kampuni gani ilikuwa outsourced ila zilikuwa kazi za mtandao wa Vodacom.
That is his last legacy.

May you Rest in peace my friend Frank Shega
 
Point yako ni nini hasa???
Huujuui mfumo wa operations za makampuni ya simu hapa TZ au unajitoa tu ufahamu??
Mpaka umauti unamkuta 2017 alikuwa akifanya kazi ofisi za Vodacom Mlimani City.
Alikuwa SLM TX.
Employed under Makteck ambaye ni subcontractor wa Nokia. Na Nokia ni contractor wa Vodacom TZ PLC.

Again point yako ni nini hasa???

Swali lake jepesi ila wewe umetoa jibu gumu...

Umeulizwa marehemu alikuwa mfanyakazi wa vodacom au mac tech.. maana watu tulianza kuponda kwa nini vodacom isimsaidie mfanyakazi wake?

Mwingine akajibu mac tech imetoa jeneza na usafiri.. ila hajasema vodacom imetoa nini?

Kabla hatujaanza kuwalaumu vodacom inabidi tupate ukweli... marehemu alikuwa muajiriwa wa vodacom?
 
The guy is dead, sidhani kama mjadala hapa ni kuwa alikuwa muajiriwa wa vodacom au maktech. It doesnt add any value. Ata kama angekuwa muajiriwa wa microsoft. He is no more.
The point is alikuwa very bright na moja kati ya accomplishment yake 4 years baada ya kumalizia chuo ni kuwa aliwahi kufanya kazi ya operations za Vodacom MS chini ya Nokia-Maktech. Haijalishi kampuni gani ilikuwa outsourced ila zilikuwa kazi za mtandao wa Vodacom.
That is his last legacy.

May you Rest in peace my friend Frank Shega
Kuna watu wametoa maelezo kuhusu marehemu,pamoja na kuwa amefariki(Na si tatizo kabisa) haimaanishi hayo maelezo tusip(nisipo)yaelewa sina haki ya kuuliza,kama vipi yasingetolewa. Nilivyoelewa
1)Alikuwa very bright.
2)Alikuwa muajiriwa wa Maktech
3)Vodacom walikuwa clients wa Maktech Na mpaka kifo kinamkuta ,alikuwa akiiwakilisha Maktech kule Voda
 
Back
Top Bottom