TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

Swali lake jepesi ila wewe umetoa jibu gumu...

Umeulizwa marehemu alikuwa mfanyakazi wa vodacom au mac tech.. maana watu tulianza kuponda kwa nini vodacom isimsaidie mfanyakazi wake?

Mwingine akajibu mac tech imetoa jeneza na usafiri.. ila hajasema vodacom imetoa nini?

Kabla hatujaanza kuwalaumu vodacom inabidi tupate ukweli... marehemu alikuwa muajiriwa wa vodacom?
Ni mwaka wa tatu sasa toka amefariki.
Haya yote mnayoyauliza sasa hayana mantinki.
Apumzike kwa amani
 
Kuna watu wametoa maelezo kuhusu marehemu,pamoja na kuwa amefariki(Na si tatizo kabisa) haimaanishi hayo maelezo tusip(nisipo)yaelewa sina haki ya kuuliza,kama vipi yasingetolewa. Nilivyoelewa
1)Alikuwa very bright.
2)Alikuwa muajiriwa wa Maktech
3)Vodacom walikuwa clients wa Maktech Na mpaka kifo kinamkuta ,alikuwa akiiwakilisha Maktech kule Voda
Uko sahihi kabisa katika hizo point 1,2 mpaka 3.
Tuliomfahamu tutaendelea kumuenzi na kumuombea kwa Mungu apumzike kwa amani
 
Rest in Peace Shega.

Story za washkaji na mafanikio yao academically yamekuwa yakitumika kutumotivate tukaze tukiwa shule. Ni watu hatujawahi onana nae ila ana mchango fulani kwenye harakati zangu.
 
Back
Top Bottom