Renatus Mkinga apona, aitaka serikali ipeleke chakula sehemu zenye njaa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,091
114,640
Mwanaharakati Renatus Mkinga ameitaka serikali ipeleke chakula sehemu zenye njaa. Akionyeshwa na Channel TV Habari anasema ni wazi kabisa kuna maeneo yamekumbwa na njaa kutokana na ukame katika maoneo hayo.

Mkinga ambaye amekuwa akiionea aibu serikali amesema hili la njaa liliwahi kuikumba hata serikali ya Nyerere na Mwalimu alichukua hatua bila kusita
 
Nchi inanyooka taratibu.
Njaa itapunguza vitambi na misuli na hivyo kusaidia kutunyoosha.
Tumwombe Mungu alete mvua nzuri tulime tusije angamia wote na kuwabakiza wao
 
Nchi inanyooka taratibu.
Njaa itapunguza vitambi na misuli na hivyo kusaidia kutunyoosha.
Tumwombe Mungu alete mvua nzuri tulime tusije angamia wote na kuwabakiza wao
Wewe akili yako kama ya magu.
Unaishi kwenye ulimwengu wako . Kuwa mwenye njaa ana kitambi.?
 
Hebu sasa tuyatambue maeneo yenye njaa ni yepi?
Yana njaa kwa sababu ya Ukame unaonyemelea au hawakuvuna/hawakulima msimu wa 15/16?
 
Nina debe la mahindi mwenye g'ombe watatu tena midume aje PM tufanye biashara.
In short sentensi hiyo ya Rais unataka kusema Wafugaji warudi kwenye umasikini wa kutosha maana Mara nyingi wafugaji wengi wako juu kidogo kwa wakulima.Sasa Sielewi dhima.nzima ya kusema.toa Ng'ombe wa tatu kwa debe moja.Kama Ng'ombe unamuuza kwa 600k maana yake debe moja la Mahindi utanunua kwa 1800k sijui ni kulewa Madaraka au ni kuishiwa maneno ya kuongea,au ni kujikwezatu.Sijaelewa mantiki nzima
 
Mwanaharakati Renatus Mkinga ameitaka serikali ipeleke chakula sehemu zenye njaa. Akionyeshwa na Channel TV Habari anasema ni wazi kabisa kuna maeneo yamekumbwa na njaa kutokana na ukame katika maoneo hayo.

Mkinga ambaye amekuwa akiionea aibu serikali amesema hili la njaa liliwahi kuikumba hata serikali ya Nyerere na Mwalimu alichukua hatua bila kusita
Hakumsikia rais alichosema?yeye ndo anaijua nchi vizuri.na hakuna njaa.anapingana nae?
 
Mimi nasubiri Mkinga atumbuliwe kwenye bodi ya Bandari ili Akili yake irudi vizuri zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom