Mungu wangu, ina maana hizi Totozi ndo zitakuwa zinahudumia ndani ya Gari Moshi au hizi ni za KQ !!!totoz wetu ndani ya lidubwasha...yaani full mautamu View attachment 517138
Yetu iko tu sawa, leteni zenyu zinakaa chupaa ya cocacola, na ziwe bullet train za freight alafu when that is done you can commentDuuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx .. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
hahaa...intact we should not feed these trolls.they are ruining our happy momentsWaambie hiyo watapata Malaria
Kichina kwa sasa kinakuwa lugha ya kibiashara. I think I'd learn Chinese too...Hata Wamarekani wangejenga wangetumia style zao, hivyo sio issue hata sasa tunajifunza Kichina kwa kwenda mbele.
Bora wao kaka. Mbn sisi hatuna hizo za kubambikiwa wala za za mitungi ya maji...???Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
Hongera Kenya kwa hatua kubwa, sisi bado tupo na KKK yani tunakopa kopa hela kama Malaya vile
Nimeongeza wa pili,nasaka wa kihindi sasaNawewe tengua mke wako
- Imepewa jina Madaraka Express, ile aliyojenga mkoloni zaidi ya miaka 100 iliyopita iliitwa Lunatic Express
- Ya abiria itabeba watu 1,200 kwa mpigo
- Inter-city itasafiri kwa masaa manne Nairobi-Mombasa bila kusimama
- Inter-county itasafiri kwa masaa matano baina ya Nairobi na Mombasa ambapo kuna vituo 9 katikati
- Kasi yake ni 120km/h
- Umbali ni 472km
- Nauli ni Ksh700 (TZS 15,000)
- Itagharimu Kshs 50,000 kusafirisha kontena, awali iligharimu Kshs 100,000 kusafirisha kwa malori, hivyo gharama imepunguzwa kwa nusu, tunasubiri Waganda, Wanyarwanda na batoto ba Kongo DRC kuwaza upya
- Jana imezinduliwa ya mizigo, leo rais anazindua ya abiria na atasafiri nayo hadi Nairobi kutokea Mombasa.
=====
Kenya imezindua reli mpya kati ya mji wa Mombasa hadi Nairobi ikiwa ni miezi 18 mapema.
Reli hiyo iliotengezwa kupitia ufadhili wa shilingi bilioni 3.2 kutoka serikali ya China ndio mradi mkubwa wa miundo msingi kuwahi kutekelezwa na serikali tangu taifa hilo lijipatie uhuru wake.
Mradi huo umechukua takriban miaka mitatu na nusu kwa kutumia teknolojia ya ujenzi wa reli ya China kukamilika.
Ni reli ya kwanza katika kipindi cha karne moja.
Safari ya kutoka Mombasa kuelekea Nairobi na treni ya kisasa itachukua saa nne na nusu ikilinganishwa na saa tisa kwa kutumia basi na saa 12 kwa kutumia treni ya zamani.
Nauli ya watu watakaokalia viti vya kawaida ni shilingi 900 huku wale watakaosafiri kwa kutumia business class wakilipa shilingi 3,000.
Rais Uhuru Kenyatta alisema wakati wa uzinduzi wa reli hiyo ambayo imeanzishwa mwamko mpya katika historia ya Kenya.
''Historia ilianzwa miaka122 iliopita wakati Waingereza waliokuwa wametawala taifa hili walipoanzisha treni hiyo iliokuwa haijulikani inakokwenda na kupewa jina Lunatic Express
''Leo licha ya kukosolewa pakubwa tunasherehekea Madaraka Express {ikitajwa baada ya siku ambayo Wakenya walijipatia uhuru wao kikamilifu} badala ya Lunatic Express.
Gharama ya mradi huo imekosolewa na upinzani ambao unasema mradi huo umeigharimu Kenya fedha nyingi mno.
Vilevile wamemshutumu rais Kenyatta kwa kuomba fedha kutoka China bila mpango.
Serikali nayo inasema kuwa ni sharti iwekeze katika miundo msingi ili kuvutia wawekezaji.
Nyie mnayo,yenu iko wapi iliyofanana na hiyoDuuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
It's just a matter of time bro just wait for our SGR, It will be one of the best SGR in Africa plus those in Morocco and South Africa... Its miracle to inaugurate something today but it's quality is very poor compared to those inaugurated by Moroccans and South Africans years ago... Can't you ask yourself why President Magufuli decided to drag away the contract with the Chineses and take Turkeys +Portugueses.... #wameibiwa#mitungiYagesiNyie mnayo,yenu iko wapi iliyofanana na hiyo
Naona unazungumzia familia yako na ukoo wako.Hongera Kenya kwa hatua kubwa, sisi bado tupo na KKK yani tunakopa kopa hela kama Malaya vile