Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Ahaha unankumbusha anko angu moja mtataKwa wale waoga wa kunyeshewa mvua shambani ni kicheko tu
Yeye msimu wa mvua Ni kusafiri tu hatak mambo ya kunyeshewa mvua shamban
Ahaha unankumbusha anko angu moja mtataKwa wale waoga wa kunyeshewa mvua shambani ni kicheko tu
Je wangeruhusu yauzwe nje kisha gunia moja likiwa 120,000/= na kilo ya mahindi ikawa 4,000/= ungelaumu serikali?, kwenda zako huko
Ukitaka kujua kwamba umejaza mkojo huko kichwani kwako jiulize maswali haya;Aisee, umefikiri sawa sawa.
production cost per standard bag(100kg) ni Tshs 45,000/= maeneo yaliyo mengi nchini kutokana na hizi gharama hapa chini ndani ya ekari moja.
-kukodi shamba 100,000/=
-kulima 60,000/=
-kupanda 30,000/=
-mbegu 48,000/=(4bags @12,000/=)
-palizi 60,000/=(2 @30,000/=)
-kuvuna 60,000/=
jumla 358,000/=
hapa ekari moja inakadiliwa kutoa (8-10) bags chini ya uangalizi mzuri japokuwa sijaweka gharama za mbolea na madawa.
ukigawa hapo utakuta 1bag ni 44,750/=, sasa njoo kwenye mauzo.
gunia 20,000/=-44,750/=(-24,750/=)
huyu mkulima bado unashangilia aendelee kulima na kuuza kwa bei hiyo halafu unaona raha tu au ndo kunywa maji yaliyofuliwa hizo bendera zenu.
acheni ushabiki usiokuwa na tija. nilifikiri mtu kama wewe uje na ufumbuzi wa kuwasaidia hawa wakulima labda serikali ihimize hawa watu wafanye food processing ili chakula kisiharibike wakingojea soko likae vizuri.
Ng'ombe wenyewe wako wapi ?Tutalishia ng'ombe tu hamna namna,hapo hatujavuna nadhani gunia itakua elfu 6
Hapa inayotusumbua ni Exposure, watanzania wengi hatuna Exposure na tunaishi kwa Itikadi Kali sema tumekosa mabomu tu.... katika Nchi yeyote suala la chakula halitakiwi kuwa na Gharama hata kidogo ili kila mtu aweze kupata hitaji hili la Muhimu... Mimi nimewahi Kaa Uswisi yaani bei za vyakula siyo kubwa kabisa na watu wanaishi kwa furaha. Sasa mnataka mahindi yaende nje halafu mwezi WA saba watu waanze kulia Njaa.... Wewe kama umelima na unaona umepata hasara acha kulima lakini mwenye Busara hawezi. Na yanatakiwa yashuke zaidi, bado Mchele.... Mazao ambayo wanatakiwa kusafirisha ni ya Biashara siyo chakula.... Acheni mambo ya Ajabu ajabu hapa sasa hivi hata mlala hoi anayelipwa Elfu tano kutwa ataweza kuishi
Hiyo mtoa mada ni muongo 100% Huwezi kuagiza mahindi kutoka Amerika yakafika Kenya alafu ulauza gunia shilling 20,000!!! Umeyasafirisha kwa kutumia ungo?
Rudia kusoma post yke mkuu. Nadhani hukumuelewaHiyo mtoa mada ni muongo 100% Huwezi kuagiza mahindi kutoka Amerika yakafika Kenya alafu ulauza gunia shilling 20,000!!! Umeyasafirisha kwa kutumia ungo?
[emoji23] [emoji23]Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Ndio, it means hadi omba omba watakula walau milo miwili kwa siku, tumpongeze rais kwa kuwatetea masikini, au mlitaka unga upande bei kama sukari ili mpate cha kuongea?
Gharama ya kulima heka moja si chini ya 500,000.Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku? Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Dona safi
ndio hivyo kama kilanja hakuwa na uhakika wa kuwa kilanja ila alisukumizwa tu uliyegemea angekuwa na uwezo wa kufikilia kuwa anacho kifanya kitaathili uchumi wa mtu mojammoja?Hii ni record mpya kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Kwa mara ya kwanza gunia mahindi linauzwa kati ya Shilingi 20,000 hadi 27,000 kutegemea na eneo husika. Tanga gunia ni Tsh 25,000/- Mbeya 25,000/-, Sumbawanga na Rukwa 20,000.
Wachambuzi wa mambo wanasema Tanzania ilikataa kuuzia Kenya mahindi mwaka jana, Kenya wakaamua kuchukua mahindi nje ya bara la Africa hivyo soko soko la Africa Mashariki likajikuta limejaa mahindi kutoka bara la America ya kusini. Baada ya wakulima kulia sana Tanzania ikafungua mipaka lakini ikawa too late. Wakulima wanalia, walioweka mahindi Godown wanalia kwa hasara ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kila mtu anaisoma namba kwa wakati wake
Jinga kiasi halijui kuwa wakulima wako taaban. Linawaza kula tuUnatia aibu na wewe ni Great thinker??
fursa hii ya kupeleka sudan kusini na somaliaHii ni record mpya kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Kwa mara ya kwanza gunia mahindi linauzwa kati ya Shilingi 20,000 hadi 27,000 kutegemea na eneo husika. Tanga gunia ni Tsh 25,000/- Mbeya 25,000/-, Sumbawanga na Rukwa 20,000.
Wachambuzi wa mambo wanasema Tanzania ilikataa kuuzia Kenya mahindi mwaka jana, Kenya wakaamua kuchukua mahindi nje ya bara la Africa hivyo soko soko la Africa Mashariki likajikuta limejaa mahindi kutoka bara la America ya kusini. Baada ya wakulima kulia sana Tanzania ikafungua mipaka lakini ikawa too late. Wakulima wanalia, walioweka mahindi Godown wanalia kwa hasara ambayo haijawahi kushuhudiwa. Kila mtu anaisoma namba kwa wakati wake
Kilimo ni biashara kama biashara zingine, mmefanya biashara na mmepata hasara kama wafanyabiashara wengine wanavyopata hasara, so take it and shut itHii akili hata kuku hana. Na yeye mkulima atakula mahindi, kuvaa mahindi, kutibiwa na mahindi nk??????? Kuna watu mnafanya propaganda hadi mnakuwa wehu.