Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
kama thread tu umechakachua vipi hela zetu!! sitaki kukumbuka ya HUsn na Judg
Hapo umepatia kbs shem!!!Mzee wako atapeleka posa kwa kina Smile....
Kwanza mdhamini mkuu ni mimi sasa nitaibaje hizo pesa?
Kwa kweli hapa hata mie pananipa mashaka kbs shem lol!
Mmesema mliyotaka, lakini Sijaona bado jibu la swali la msingi : Rejao uko wapi?
Kwanza mdhamini mkuu ni mimi sasa nitaibaje hizo pesa?
umeona eeh!! labda ashirikishwe kwenye mapokezi au ulinzi
Ww ndio mdhamin wa harusi?hv hata mie ninaeshuhudia mme wangu akikupoza hela ya kula unataka kunipiga fix shem!
Nimerudi hapa kwa heshima yako shem...Shem haya ni ya kweli haya? Umepost nini? Watafutaje post ya MoY bila taarifa? Hebu nitonye ukute na zangu zafutwa sian habari.... Mzim lakini?
Mmeshaishiwa sera tayari. Hamna tena makali. Lema arudi tu kwenye biashara zake, siasa haiweziSubiri uone matunda ya uamuzi wa jaji wenu. Mtajuta kununua punda kwa bei ya farasi.
Hivi kumbe kesho ndio mnaenda kulia lia mahakamani??Na watajuta kweli....Ngoja kesho tuone kama watatukubalia rufaa yetu....