Hahahaaa mwanaume hupaswi kushtuka.....kijana, nimelelewa kwa malezi ya kikristo... pamoja na kukaribia sana kukamilisha muongo wa tatu... sijawahi mchezo mbaya... hapa smile kanishtua! maana nikiangalia signature nikajua tupo pamoja!
Heee hivi unaleta maneno ya kashfa kwa Canta?hah! sasa naona unamkaribia kijana wa mtera! ndio anayokufundisha re-ja-o? nasikia hata ku-click alikufundisha yeye!
Teh teh teh!
Hunipati ng'ooooo!
Hahahaaa mwanaume hupaswi kushtuka.....
Heee hivi unaleta maneno ya kashfa kwa Canta?
Hujui yeye ndo kashika hatma ya mahusiano yako machanga kwa Smile?
Safi sana dogo....enjoy love....
Ila jihadhali sana na Mtei hakawii kukumwagia Tindikali kwa kumiku kwa Smile hahahaaa
Ndio maana nimekusamehe shemu wangu wa ukweli,Heee hivi unaleta maneno ya kashfa kwa Canta?
Hujui yeye ndo kashika hatma ya mahusiano yako machanga kwa Smile?
Now ur talking!Canta tunaelewana vizuuuri tu, ila alikuwa na ka-ugomvi na nyinyi akataka kunijumlishia na mimi huko ila tumeshayamaliza sasa nafikiria kumweka mpambe wa bi harusi
Ndio maana nimekusamehe shemu wangu wa ukweli,
Unaakili sana aisee,
Mwambie mhudumu akuongeze kilaji lol!
taratibu tu atanielewa tu!
Now ur talking!
huko si pazuri coz nitaimiss jf!!hata mimi sijui unafikiria wapi huko!!?
Nimewasamehe kiroho safi kbs!Ndio maana na mimi nimekupropose uwe mpambe wa smile....umewasamehe wana kamati!
Orait,mbona ka-like hapo kwako sikaoni pokea "like"
Sasa hapo shemeji hebu tuanze mipango sasa...... niambie
Mpambe atakuwa Amyner....Otherwise nakuharibia sasa hivi.....Canta tunaelewana vizuuuri tu, ila alikuwa na ka-ugomvi na nyinyi akataka kunijumlishia na mimi huko ila tumeshayamaliza sasa nafikiria kumweka mpambe wa bi harusi
Sawa ila nashangaa anajipendekeza hadi anataka kukuweka eti uwe mpembe badala ya Amy...Ndio maana nimekusamehe shemu wangu wa ukweli,
Unaakili sana aisee,
Mwambie mhudumu akuongeze kilaji lol!
taratibu tu atanielewa tu!
Kama kawaida Erickb52 Mwenyekiti na Amyner Mweka hazina....Orait,
Kwa uwepo wangu hapa ni kwa hisana na ruhusa ya mme wangu kipenz Rejao,
Then labda nikuulize unafikiri ni vichwa gani vikali tukivikabidhi kamati harusi itakua ya kihistori!
huko si pazuri coz nitaimiss jf!!