Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,449
- 101,325
karibu Broda Rejao...pongezi zaidi kwa mai Dada Canta..kapambana hadi last minute....
Hii ni yako peke yako mpenzi. Narudia tena, u are the only one who deserves to have it!!
Kongosho na Smile this time watakula tu kwa macho!!
sitaki mtu mwenye asili yeyote ya pombe mimiilikuwa zamani. Nilikuwa napenda kwenda bar kunywa mchemsho, mishkaki. Pia nilikuwa naenda kucheza pooltable.
Mimi na ulabu ni maadui wakubwa.
Asante kaka yangu wa ukweli,karibu Broda Rejao...pongezi zaidi kwa mai Dada Canta..kapambana hadi last minute....
pacha ukiendelea sana utaharibu
sitaki mtu mwenye asili yeyote ya pombe mimi
simtaki tena mimi kumbe cha pombe?basi pacha...kisijenuka ukasema ni mm!
Una uhakika na unachokinena?
CAnta unashangilia?
sitaki mtu mwenye asili yeyote ya pombe mimi
simtaki tena mimi kumbe cha pombe?
Dah una maneno matamu kama AmynerThanks my swty darling,
Uknow wats,
24hrs make a lovely day,
7 days make a lovely week,
52 weeks make a lovely year & knowing a
person like me will make ur life lovely.
Am always urs alone and forever!!!
Smile unakubali kuwa nyumba ndogo?
Hahahaaa usimfiche shemeji yangu....Hujui Smile ni mdogo wake Amyner?ukifanya hvyo utakosea. Mi sio chapombe. Muulze Canta, Husninyo, Bagah, Judgement, FL 1 na wengne watakwambia.
Ninafurahi tu mkuu!!!!