Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

..........TRUTH TAKES...

ahahahahahah!TRUTH TAKES TIME.

sasa mkuu,kama tunajua wazi kwamba rosti-tamu is working under-cover,na watu wenye immunity,na tunajua kwamba the giant is working for ccm,na tunajua kwamba miradi mingi ya serikali(kuanzia umeme,madini,n.k),madaraka makubwa kwenye chama,na mambo mengine mengi muiran huyu anapewa na serikali KAMA AHSANTE KWA KAZI NZURI,au tuseme fadhila!ANAPEWA NA SERIKALI.hili ndugu yangu ndio tatizo langu.angalia mlinganyo ufuatao:

CCM=SERIKALI(kwamba serikali inaongozwa na ccm kwa awamu kadhaa)

CCM=ROSTAM(kwa maana kwamba rostam in mhimili mkubwa ndani ya chama-tawala,ikumbukwe pia aliwahi pewa UHAZINI WA CHAMA-TAIFA,sasa madhumuni ni nini UTABRAINSTORM mwenyewe,ila wafuatiliaji tunajua)

sasa J.K,BEN,EDDO (na wafuasi wao woooooooote)ndio serikali yenyewe.ngozi nyeusi inatamaa sana jamani.na wabaya hapa ni hawa SERIKALI.rostamu anapotumika KUKWAPUA HELA IKATUMIKA KUMUWEKA SERIKALI MADARAKANI,fadhila zinarudishwa kwa mtindo ambao UMESHINDWA KUJIFICHA KWA SASA!

hapo hapo wajasiliamali WAKAMTUMIA(madam yeye ana commission yake,HAJALI),rostam unamkuta richimond(sasa dowans,mchezo mchafu ambao sitakaa niamini kwamba jk alikuwa hajui,hasa kwa ukaribu wa hawa BOYS2MEN),rostam unamkuta kagoda pia.na miradi mingine mingi ambayo WASWAHILI WAMEWEKA MIKONO YAO.ikafika mahala hadi 'mwenyekuchunga' kalamba milion 3 kwa rostam.

MTIZAMO WANGU SASA:mengi na rostam INAWEZA KUWA NI USHINDANI WA BIASHARA ZAO.wakienda mahakamani mtaona wenyewe kesi itakavyoisha.mengi ana maswali ya kujibu,and so is ROSTAM.najiuliza sana je,kama mengi angepewa nafasi ya KUKWAPUA ili sisiemu washinde ANGEONGEA?

mtu yoyote anaechukia mafisadi HAWEZI KUWA UPANDE WA J.K(ambae amewaweka),hapo mengi ndo ninapomuona MSANII(AU MJASILIAMALI)

kwanini tusideal na watu RESPONSIBLE na mikataba na miradi ya serikali?waseme ILIENDA ENDA VIPI?
 
Mkuu,

Hakuna la kugombea biashara katika hii vita. Historia imenifanya niamini kuwa Mengi is smarter than that, angalia katika malumbano yake huko nyumba Mengi huwa hafichi fichi mambo kama ambavyo RA alitaka tuamini. Alilalamika kuhusu Kempiski akamuambia waziri ukweli, alilalamika kuhusu Manji kuhonga wabunge tena alisema wazi Lowassa alimwambia...sasa mkuu hata hili iwapo Mengi angekuwa na maslahi ya kibiashara sioni kwa nini angeficha.

Hata hivyo, hata kama ana maslahi kibiashara ambayo hatuyajui...Je ni kweli au si kweli RA anatakiwa kujibu tuhuma za Dowans, Richmond, Kagoda n.k??/
 
RA anatoswa. He has outlived his usefulness na sasa he is becoming a political liability as we head into 2010.
 
ahahahahahah!TRUTH TAKES TIME.

sasa mkuu,kama tunajua wazi kwamba rosti-tamu is working under-cover,na watu wenye immunity,na tunajua kwamba the giant is working for ccm,na tunajua kwamba miradi mingi ya serikali(kuanzia umeme,madini,n.k),madaraka makubwa kwenye chama,na mambo mengine mengi muiran huyu anapewa na serikali KAMA AHSANTE KWA KAZI NZURI,au tuseme fadhila!ANAPEWA NA SERIKALI.hili ndugu yangu ndio tatizo langu.angalia mlinganyo ufuatao:

CCM=SERIKALI(kwamba serikali inaongozwa na ccm kwa awamu kadhaa)

CCM=ROSTAM(kwa maana kwamba rostam in mhimili mkubwa ndani ya chama-tawala,ikumbukwe pia aliwahi pewa UHAZINI WA CHAMA-TAIFA,sasa madhumuni ni nini UTABRAINSTORM mwenyewe,ila wafuatiliaji tunajua)

sasa J.K,BEN,EDDO (na wafuasi wao woooooooote)ndio serikali yenyewe.ngozi nyeusi inatamaa sana jamani.na wabaya hapa ni hawa SERIKALI.rostamu anapotumika KUKWAPUA HELA IKATUMIKA KUMUWEKA SERIKALI MADARAKANI,fadhila zinarudishwa kwa mtindo ambao UMESHINDWA KUJIFICHA KWA SASA!

hapo hapo wajasiliamali WAKAMTUMIA(madam yeye ana commission yake,HAJALI),rostam unamkuta richimond(sasa dowans,mchezo mchafu ambao sitakaa niamini kwamba jk alikuwa hajui,hasa kwa ukaribu wa hawa BOYS2MEN),rostam unamkuta kagoda pia.na miradi mingine mingi ambayo WASWAHILI WAMEWEKA MIKONO YAO.ikafika mahala hadi 'mwenyekuchunga' kalamba milion 3 kwa rostam.

[quote
MTIZAMO WANGU SASA:mengi na rostam INAWEZA KUWA NI USHINDANI WA BIASHARA ZAO.wakienda mahakamani mtaona wenyewe kesi itakavyoisha.mengi ana maswali ya kujibu,and so is ROSTAM.najiuliza sana je,kama mengi angepewa nafasi ya KUKWAPUA ili sisiemu washinde ANGEONGEA?
[/quote]
'Kama... ange...' Kama Mengi angepewa hiyo nafasi basi angekuwa yeye ndiye Rostam. Huna haja ya kuumiza kichwa hapa.
[quote
mtu yoyote anaechukia mafisadi HAWEZI KUWA UPANDE WA J.K(ambae amewaweka),hapo mengi ndo ninapomuona MSANII(AU MJASILIAMALI)
[/QUOTE]
Kinachokufanya umweke Mengi kwenye upande wa JK ni nini? Nachojua Mengi alichosema ni kwamba Rais wa nchi JK yuko namba 1 kwenye kuongoza vita dhidi ya ufisadi. Kwa nafasi ya raisi hiyo ndiyo kazi yake, whether analitekeleza ama la, hilo ni swala lingine (wewe unajua). Lazima aliheshimu hilo maana vinginevyo yeye Mengi hana uwezo wa kuwapeleka mafisadi mahakamani bila serikali kutoa ushirikiano. Obviously raisi hathubutu kusimama hadharani na kusema sipambani na ufisadi (hata kama ndani ya moyo wake anajua yeye na RA lao ni moja.) Na hapo ndio busara za Mengi zilipo, we utaita usanii; lakini ukweli ni kwamba uozo wote huu unalelewa na raisi na serikali yake, na hawa wachafu wachache wanatumia hiyo advantage. Tutamfikiaje raisi kumwambia wewe ni fisadi bila kuzuliwa kesi ya kutaka kupindua nchi? Sio kwamba wote hatujui kwamba CCm na raisi wake na watendaji wake ndio chanzo cha yote haya, ishu ni jinsi gani ya kufikisha ujumbe huo huo bila vita. Kwa njia ya kuuma na kupuliza.
[QUOTE
kwanini tusideal na watu RESPONSIBLE na mikataba na miradi ya serikali?waseme ILIENDA ENDA VIPI?[/quote]

Hutaweza kufanikisha lolote kwa njia hiyo, maana ni network. Kila utakayemgusa analindwa maana ana uhusiano wa kimaslahi na mkuu fulani. Na pili, wewe mtu binafsi utamwendeaje mwenye mikataba ya serikali, say mwanasheria mkuu kwa mfano, utaanza je? Si mpaka uwe na kizibit? Kama unazo nyeti za hao wahusika, weka hadharani uone kama ataogopwa mtu. Mbona kina Masha na wengineo juzi juzi tu tulikuwa tunawajadili humu, naona umesahau.
 
Hii hapa chini inanichefua, kumbe shujaa anajikinga asitajwe, Jee Mwanakijiji upo hapo?
Unataka mtu usiguswe ili ufanye unavyotaka?

Mr Mengi is also asking the court to issue permanent injunction restraining Mr Rostam, the defendant from making and publishing any matter concerning or touching him personally and his business without his consultation. The IPP boss further seeks an order for unconditional apology to him for each and every false remark and matter uttered, published and circulated by the defendant

Jee Mwanakijiji upo hapo?
WHY MWANAKIJIJI????
 
Je ni kweli au si kweli RA anatakiwa kujibu tuhuma za Dowans, Richmond, Kagoda n.k??/

mkuu,tunarudi pale pale!!........

ANATAKIWA KUJIBU!alihusika sana,lakini alihusikaje?sheria zinataka VIELELEZO-VIDHIBITI.ambavyo VIMEIBIWA.ukienda brella,ukienda wapi watakwambia richmond HAINA MWENYEWE!ukienda wapi sijui watakwambia sijui kagoda imefanya bla!bla!

WATU WALITOA VIELELEZO VYA MSINGI WAKAKABIDHI,wakajengewa majumba.mambo mengi unayoyajua sijui KAGODA YA RA,mara RICHMOND YA RA,ni suspicious.wanaotakiwa kutoa vieelelezo hawana!

NINACHOKIONA SASA:rostamu hakwenda kubomoa wala kuvamia kwa silaha maeneo yoyote katika kupoteza ushahidi,ila WAHUSIKA WAKUU ndiyo waliotumia nafasi zao kupoteza vielelezo vya msingi.wengine walitusaliti kabisa wakakubali KURUBUNIWA(inawezekana ni njaa,au ni katika kuvinusuru vibarua vyao).

sasa mimi narudi palepale!NANI ANAEMTUMIA ROSTAM?KUNA MCHEZO MCHAFU SANA HAPA.nani hajui kwamba rostam hafai?

......kwa mtizamo wetu tunaona kama ra HAFAI,lakini amini usiamini,uliowapigia kura WANAMUONA KAMA MUNGU!

sasa utachagua wa kumblame!
1)ukae na mengi -CHUKI ZA KIBIASHARA na rostamu(wakati huohuo ni mfuasi namba moja wa jk 'aliyemuweka rostam kwa plans tofauti')

2)au ukae na rostam-kama ulikula hela yake,na huna mapenzi na watanzania na uzao wako wote

3)Au ukae na wavuja jasho wanaojua tatizo si rostamu pekee-ila kuna watu tena ngozi hii ya kizawa ndio wanaoleta umaskini tanzania.

au utajua mwenyewe!mimi nashindwa kuelewa.Mwanakijiji alimuandama sana jk kwa takribani wiki 4 zimepita,amejaribu kuelezea sana CHANZO CHA TATIZO.wanajamii wengi wanajaribu kusolve IMPACT,badala ya PROBLEM YENYEWE!

sijui,twendeni tu hivohivo.mi mtazamaji
 
Hatimae amepatikana mtu wa kumfunga paka kengele, baada ya serekali na taasisi zake kushidwa kuwafikisha watuhumiwa wa ufisadi papa na nyangumi kwenye vyombo vya sheria, wanapelekana wenyewe mahakamani.
 
I said it, Mzalendo Mengi is so smart, Kama ni mbinu za kupambana na mafisadi papa anazijua kweli.

Kwa vile serikali ndio walinzi na watetezi wa mafisadi, inatakiwa akili na ujanja wa hali ya juu ku deal nao mpaka ukatimiza adhma yako ya kuvunja ngome ya ulinzi wao na kuutokomeza. (rejea sofia Simba na Mkuchika)

Move ya Kwanza: Mzalendo Mengi alimtoa nyoka pangoni na bubu akasema... vikaragosi vya mafisadi ( cheche et al..2009) vikashangilia na kushadadia kwamba Mengi naye fisadi nyamgumi.

Move ya pili: Ndo sasa mahakamani, fisadi papa athibitishe hizo tuhuma za ufisadi nyangumi,

Move ya tatu, ni wakati wa kuthibitisha.. Ni kwanini nilikuita fisadi papa... ni kwa sababu hiii na ile na ile... kubali ama linyweee

So smart, and very strategic

Bravo Mzalendo Mengi

Hapo ndipo penye KAGODA, Dowans na ufisadi wote!!

Duu ngoja mimi niimbe
Oooh TANU yajenga nchiii, Ooh TANU yajenga nchii
TANU haaaa, TANU yajenga nchiii.

nakumbuka zile ahadi nzuri ya mwana-TANU na Azimio la Arusha
 
Huyu Mengi ana akili timamu?...........kasema Rostam ni fisadi na amefungua kesi mahakamani sawa .... je akishinda kesi na kupewa hizo pesa 10bilioni atazikataaa? maana tayari ni zakifisadi.

Acha upotoshaji Fidel, kama Mahakama ikitoa judgement kuwa Rostam amlipe Mengi pesa hizo, hiyo ni amri halali na itapaswa kutekelezwa kama Mahakama itakavyohukumu. Zitatoka wapi siyo suala hapa, kama zilivyo kesi na hukumu nyingine ataangaliwa uwezo wake na Mahakama itaamua jinsi ya kulipa. Pole sana!
Mahakamani! here we come!
 
mkuu,tunarudi pale pale!!........

ANATAKIWA KUJIBU!alihusika sana,lakini alihusikaje?sheria zinataka VIELELEZO-VIDHIBITI.ambavyo VIMEIBIWA.ukienda brella,ukienda wapi watakwambia richmond HAINA MWENYEWE!ukienda wapi sijui watakwambia sijui kagoda imefanya bla!bla!

WATU WALITOA VIELELEZO VYA MSINGI WAKAKABIDHI,wakajengewa majumba.mambo mengi unayoyajua sijui KAGODA YA RA,mara RICHMOND YA RA,ni suspicious.wanaotakiwa kutoa vieelelezo hawana!

NINACHOKIONA SASA:rostamu hakwenda kubomoa wala kuvamia kwa silaha maeneo yoyote katika kupoteza ushahidi,ila WAHUSIKA WAKUU ndiyo waliotumia nafasi zao kupoteza vielelezo vya msingi.wengine walitusaliti kabisa wakakubali KURUBUNIWA(inawezekana ni njaa,au ni katika kuvinusuru vibarua vyao).

sasa mimi narudi palepale!NANI ANAEMTUMIA ROSTAM?KUNA MCHEZO MCHAFU SANA HAPA.nani hajui kwamba rostam hafai?

......kwa mtizamo wetu tunaona kama ra HAFAI,lakini amini usiamini,uliowapigia kura WANAMUONA KAMA MUNGU!

sasa utachagua wa kumblame!
1)ukae na mengi -CHUKI ZA KIBIASHARA na rostamu(wakati huohuo ni mfuasi namba moja wa jk 'aliyemuweka rostam kwa plans tofauti')

2)au ukae na rostam-kama ulikula hela yake,na huna mapenzi na watanzania na uzao wako wote

3)Au ukae na wavuja jasho wanaojua tatizo si rostamu pekee-ila kuna watu tena ngozi hii ya kizawa ndio wanaoleta umaskini tanzania.

au utajua mwenyewe!mimi nashindwa kuelewa.Mwanakijiji alimuandama sana jk kwa takribani wiki 4 zimepita,amejaribu kuelezea sana CHANZO CHA TATIZO.wanajamii wengi wanajaribu kusolve IMPACT,badala ya PROBLEM YENYEWE!

sijui,twendeni tu hivohivo.mi mtazamaji

Angalau tuko pamoja, raisi na serikali yake ndio wanaiua hii nchi na ndio wanaotakiwa kuwajibishwa. Ishu ni kwamba hatuna kipengele kwenye katiba cha kuturuhusu tulioibiwa kumfukuza mwizi. Hadi hapo hicho kipengele kitakapowezekana, lazima tujaribu kila njia iwezekanayo. Hii ya Mengi ni mojawapo, ya MKJJ ni nyingine, ya upinzani kwa akina Slaa ni nyingine, n.k. Mabadiliko hayaji kirahisi bila mapambano. At the same time tunatakiwa kuwahamasisha wananchi waelewe haya mambo ili siku ya kuingia barabarani kwa maandamano tuwepo wa kutosha. Tutafika tu.
 
.........Angalau tuko pamoja, raisi na serikali yake ndio wanaiua hii nchi na ndio wanaotakiwa kuwajibishwa......

SWADAKTA MKUU!

hawa ndio mafisadi!wanawatumia TANZANIANS-ASIANS!kufanya hizo vurugu zote.na wanatuona sisi WAJINGA!,hatuwezi kuanalyse mambo,wanajua tutaishia kuwalaumu WAASIA!nitakupa mfano rahisi tu mwingine,muhindi aliyepewa TRL amekula na vigogo wengi tu!ndo maana serikali haina SAUTI.sisi tunaishia kuwalaumu WAWEKEZAJI!wao hawatetereki,wanajua walikula na wakubwa.

UTAPATA PICHA SASA,idadi ya watanzania (wavuja jasho) wanaoathirika na ubovu wa ile huduma peke yake!

sasa hilo ni moja tu!wapo wakina rostram,wakina manji,wakina subash!lakini TRUST ME!tunaopeana hii misalaba NI SISI KWA SISI

hizi mambo zilisababisha maandamano makubwa sana kule UKRAINE!ndo tunakoelekea sasa

TUAMKE WATANZANIA!we must accept changes,for the future of our generations
 
Acha upotoshaji Fidel, kama Mahakama ikitoa judgement kuwa Rostam amlipe Mengi pesa hizo, hiyo ni amri halali na itapaswa kutekelezwa kama Mahakama itakavyohukumu. Zitatoka wapi siyo suala hapa, kama zilivyo kesi na hukumu nyingine ataangaliwa uwezo wake na Mahakama itaamua jinsi ya kulipa. Pole sana!
Mahakamani! here we come!
"Zitatoka wapi siyo suala hapa"Lazima zitoke kwa Rostam. Sheria za bongo maybe different, but in common Law, kama unashitaki lazima ujue unachodai kwa yule umshitakie anacho. Huwezi kumdai masikini asiye na pesa 10 billion. Kabla hujashitaki inabidi ufanye investigation kuwa huyu mtu au kampuni wana pesa za kulipa au la. Lawyers wako wanaweza kukuambia wazi kuwa kesi haina maslahi kwako, na unachohitaji ni kipi. Kama ni kifungo itategemea sana je madai yapi au jinai vipi!
 
What I want to see is the so called "untouchables" being touched and in fact poked. Let them take each other where ever they want as long as the truth comes out.
 
"Zitatoka wapi siyo suala hapa"Lazima zitoke kwa Rostam. Sheria za bongo maybe different, but in common Law, kama unashitaki lazima ujue unachodai kwa yule umshitakie anacho. Huwezi kumdai masikini asiye na pesa 10 billion. Kabla hujashitaki inabidi ufanye investigation kuwa huyu mtu au kampuni wana pesa za kulipa au la. Lawyers wako wanaweza kukuambia wazi kuwa kesi haina maslahi kwako, na unachohitaji ni kipi. Kama ni kifungo itategemea sana je madai yapi au jinai vipi!

Lakini hata kama Mengi akishinda kesi Jaji si bado anaweza kupunguza hicho kiwango kwa kiasi kikubwa sana....Mengi nia yake sio hela ni huo msamaha...hebu angalia madai yake ya msamaha yalivyo...
 
I think 2010 will be one of the most interesting general elections yet. With all these dramas going on it leaves me to wonder, are they going to grow towards 2010? Au mambo yata zimwa kiaina aina?
 
This dura-maaa between Mengi and Rostam is so childish when you look at it.

Its all about she sau he say and i will sue you lakini hakuna hata mmoja wao anayetoa evidence zaidi ni kutoleana makashfa...Tanzania tupo so behind kwenye politics kama unaona kuna ufisadi toa ushahidi wako A-B-C-D full stop!...

we have long way to go!..yaani hii drah-maa ya rostam na Mengi haina tofauti na Jerry springer.
 
You have a point sister/bro. We want to see this move towards hard evidence rather than the current "taarabu" that is going on.
 
Iam she!and my avatar explains it all.

Its typicall tanzanian alafu cha kushangaza sioni hata raisi aksiema anything amenyamaza kimya kama nothing is happening.....to me naona kama ana entertain....
 
I'm really sorry. i didn't look at your avatar. I hope you are not offended, my apologies.
 
No i am not na wala usijali sita ku-sue!.....

I know that is honest mistake!...ila next time nitakupeleka mahakamani for 10billion dollars...US!....LOL This make me wonder yaani hawa watu its all about money na wala siyo manufaa ya mwananchi..Nilishasema awali kuwa wanasiana bongo IQ zao ni Zero/nada/sifuri...hakuna kitu wanaangalia maslahi yao na siyo ya wananchi....if you all choose me i will make changes....

Its time for change!.....
 
Back
Top Bottom