Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

mkuu,
rostam ALIBOMOA BENKI(BOT)?,au alikula na wazawa?waliokuwa madarakani?

kuna mtu hapa katikati MZAWA/ambae umempigia kura.ndo anaerubuniwa na huyu mu-iran.

TELL ME,WHO IS TO BLAME?
Kesi hujengwa na aliyeshikwa na ngozi ili awaseme ni nani walimsaidia kuchinja, kuchuna na kuiba ng'ombe.Ni kweli kabisa mwizi namba moja ni Mkapa na Kikwete Mkapa alisaidia kuiba ili amwingize Kikwete Ikulu na wote walimtumia Rostam kwani ni kijana wao.
 
mkuu,
rostam ALIBOMOA BENKI(BOT)?,au alikula na wazawa?waliokuwa madarakani?

kuna mtu hapa katikati MZAWA/ambae umempigia kura.ndo anaerubuniwa na huyu mu-iran.

TELL ME,WHO IS TO BLAME?

Sasa Mkuu kwenye vita yoyote lazima ujue ni wapi na kuanzia mashambulizi. Hapa ni lazima kipatikane kichwa cha huyu kibaraka wao aliyekwenda kupanga kila kitu, huyu akishapatikana ndio waliomtuma tutawajua na kuwakomalia pia....unafikiri ni kwa nini tunasubiri kwa hamu RA aende mahakamani..??

Ni kweli kabisa mwizi namba moja ni Mkapa na Kikwete .

Mkuu,

huoni kama hii kesi itaishia hewani?kwasababu ROSTAM IS WORKING UNDER COVER,with people who HAVE IMMUNITY.

sasa unaonaje kama tukianza na WAZAWA,tuishinikize serikali kutengua KINGA YA RAIS.kwa upeo wangu najua wazi rostam ALITUMIKA TU!wapo walioidhinisha wizi mkubwa huu,na WANA KINGA ZAO.

hebu fikiri,UNADHANI KIKWETE HAMJUI ROSTAM VIZURI?unadhani ameingia NEC kwa bahati mbaya?

jiulize tena,
Mengi anamshambulia rostam,ANAMUUNGA MKONO J.K!unadhani mengi hajui kwamba ccm inamtumia rostam kuchota hela?ANAJUA.mengi hawezi kumpenda j.k na kumchukia ra SIMULTANEOUSLY!kuna kitu hapa...............
 
Mkuu huenda upo sahihi lakini tatizo ni kuwa una haraka mno...

Kuna kitu kinaitwa "Strategy" lazima uwe makini, utawezaje kuwapanga wananchi wote waondoe kinga ya Rais wakati kuna wakina RA ambao kutwa kucha ni kupotosha wananchi kwa press conf zao kempisk na kwingine??

Sio hilo tu, ngoja sheria ichukue mkondo wake; wala Jaji wa mahakama zetu aseme Rais Mkapa/ JK wana kesi ya kujibu au anatakiwa aje kutoa ushahidi...hapo sasa ndipo jukwaa la kuwalilia wananchi waondoe kinga linakuwa na mantiki.
 
Huyu Mengi ana akili timamu?...........kasema Rostam ni fisadi na amefungua kesi mahakamani sawa .... je akishinda kesi na kupewa hizo pesa 10bilioni atazikataaa? maana tayari ni zakifisadi.
Mahakama ndio yenye kujua hayo kwani Mengi akitakiwa kulipwa lazima alipwe sasa umezipataje fedha hiyo juu yako na mahakama. Mengi hawezi kujua fedha zipi ni halali na zipi si ila yeye anajua baadhi ya fedha za Rostam ni za wizi.
 
Nilisema haya jana kwamba Mengi ana broad spectrum ya kufile countersuit, instead Mengi ndio ameanza na Lawsuit... Hapa hakuna ugumu kubuild hii kesi, ukweli ni kwamba Rostam need kuprove beyond resonable doubt kwamba all of those allegations were true...

Wale mnaaseme Mengi need to be straight, nadhani ueleo wa sheria ni mdogo.Angali alligetion za Mengi kwa Rostam. Mengi hakusema Rostam ana own Kagoda, bali alichallenge kwamba Rostam inabidi aseme alikuwa anafanya nini Bank? I think we need to read between the line....
 
Kwa nini Mengi hakumshitaki RA kwa UFISADI, amnamshtaki kwa kumkashifu na kumzulia tuhuma za uongo!!!!. SELF INTEREST!!!
 
.....Jaji wa mahakama zetu aseme Rais Mkapa/ JK wana kesi ya kujibu au anatakiwa aje kutoa ushahidi....

IT WILL NEVER HAPPEN,as long as ccm will stay into power!wana kawaida ya kulindana.na mifano unayo.

kauli nukuliwa hapo juu itawezekana iwapo:

1-wananchi tutaamua KUKATAA KUBURUZWA,tukafunga mkanda na kukubali mabadiliko kwa mwaka 2010,ili uongozi mpya utakapoingia(ambao hauna kabisa damu,wala chembechembe ya ccm)UTAPUNGUZA MADARAKA MENGI YA RAIS,na kumuondolea kinga rais yoyote.then watam buruza rostam mahakamani,atawataja kina jk na ben.wao watashtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka yao KWA KUTUMIA KATIBA MPYA YENYE MABADILIKO.

2-....................................................

3-.....................................................

utamalizia mwenyewe
 
source:THIS DAY

VICHEKESHO VITUPU

Ulitaka liwe Rai au Mtanzania? Pengine utaliamini Daily News ambalo ni la Serikali. Habari hiyo hapo chini

Mengi sues Rostam Aziz for 10bn/-

DAILY NEWS Reporter, 7th May 2009 @ 00:05, Total Comments: 0, Hits: 351

IPP Executive Chairman Reginald Mengi has sued Igunga Member of Parliament Rostam Aziz demanding a whopping 10bn/- in general libel damages. Through Ngalo and Company Advocates, Mr Mengi filed the suit at the High Court in Dar es Salaam on Monday against Mr Rostam, a prominent businessman, whom Mr Mengi accuses of defaming him at a press conference the MP called last Sunday.

He is asking the court to order Mr Rostam to retract what he described as falsehoods levelled against him and seeks a permanent injunction restraining Mr Rostam from repeating, publishing and circulating alleged falsehoods.

Mr Mengi is also asking the court to issue permanent injunction restraining Mr Rostam, the defendant from making and publishing any matter concerning or touching him personally and his business without his consultation. The IPP boss further seeks an order for unconditional apology to him for each and every false remark and matter uttered, published and circulated by the defendant.

He is asking the court to order the defendant to submit to him a draft retraction and apology for his approval and compel him to publish at his expenses in three consecutive issues in all the country’s major newspapers – such as the Daily News, ThisDay, The Citizen, Majira,

Mtanzania, The African, Tanzania Daima, Uhuru, HabariLeo, Nipashe, The Guardian and Business Times. Mr Mengi is further asking the court to order Mr Rostam to pay him 500m/- as compensation for punitive damages and some interests at court rate of 12 per cent from the date of award till full payments and costs of suit.

At the press conference, he claimed, his competitor in the media industry made several remarks that were false and malicious and that were subsequently published regarding the defunct National Bank of Commerce (NBC). According to Mengi, such statements were meant to be understood that in 1980s, his company (Anche Mwedu Limited) borrowed billions of shillings from NBC and he had refused, ignored or defaulted to repay the money.

Mr Mengi claimed that Mr Rostam was also accused of imputing that the plaintiff (Mengi) fraudulently took or stole or swindled 28bn/- from the bank and had bankrupted the NBC, was dishonesty and was a chronic debtor. He further claimed that Mr Aziz also linked him with obtaining commodity import support funds fraudulently, forced NICO to purchase shares in Interchem Pharma Limited and many other accusations which he claimed weren’t true.

Vichekesho vimekwisha?
 
IT WILL NEVER HAPPEN,as long as ccm will stay into power!wana kawaida ya kulindana.na mifano unayo.

kauli nukuliwa hapo juu itawezekana iwapo:

1-wananchi tutaamua KUKATAA KUBURUZWA,tukafunga mkanda na kukubali mabadiliko kwa mwaka 2010,ili uongozi mpya utakapoingia(ambao hauna kabisa damu,wala chembechembe ya ccm)UTAPUNGUZA MADARAKA MENGI YA RAIS,na kumuondolea kinga rais yoyote.then watam buruza rostam mahakamani,atawataja kina jk na ben.wao watashtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka yao KWA KUTUMIA KATIBA MPYA YENYE MABADILIKO.

2-....................................................

3-.....................................................

utamalizia mwenyewe

Mkuu hebu kabla hujaandika mambo meeengiii kujiuliza kwa nini Mkapa, JK et al wahashitakiwi....soma SIGNATURE YAKO MWENYEWE....inayosema TRUTH TAKES...
 
mbona umenukuu vizuri tu kubwa?

Kama waandishi wa habari ni makini, wanapoandika habari ya mtu ni lazima wam-consult. sasa lawama zako ziko wapi, do your home work (soma sentesi mpaka mwisho), siyo kutanguliza chuki.

Mengi alipotoa allegations zake ali see prior consultation from Rostam? Halafu unazungumzia habari za mwandishi wa habari makini kwani RA ni mwandishi wa habari? "Akutukanae klabu cha pombe nawe mrudishie matusi yake klabu cha pombe" Sukuma saying
 
Haya wajameni patamu hapo.sasa tumsikie nae rostam.unajua ukiangalia sana rostam anajikinga ktk siasa ndo maana badala ya kwenda kutafuta haki mahakamani akakimbilia kwa fisadi wa pccb ili amsaidie kupindua mambo kama alivyofanya ya dowans.si kwamba hosea alikosea kuitetea dowans bali through nguvu za rostam alifanya hivyo.na sasa amekimbilia tene kwa kibaraka wake hosea ili amkandamize tena kama dowans.

Hebu muone jinsi vitengo vinaundwa kuwalinda mafisadi.pccb imeundwa ili ilinde mafisadi na sii kuwafichua.kimsingi ndo hivyo au mnaonaje wana jf hapo.
Ni kweli tupu ndugu yangu,namkumbuka Kamanda Maganga ambaye alikuwa Kamanda wa PCCB Shinyanga mwaka 1996-1997.Kamanda Maganga alimkamata mwenyekiti wa CCM Mh.Mabele ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa SHIRECU na kumfungulia mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za wakulima,kwa mshangao wa Watanzania Rais wa wakati huo Mh.Benjamin W.Mkapa alimualika Mabele Dar-es-salaam na kwenda naye ziara nchini Namibia.Kamanda Maganga akahamishiwa Makao makuu and then the end of his story!
Kama hiyo haitoshi, Kamanda Shashu Lugeye alikuwa anafuatilia tuhuma za rushwa wizara ya fedha enzi ya Prof. Malima.Rais Mwinyi akampromote na kumteua kuwa DC wa Kibondo.Huyu bwana hakuridhika na uteuzi wa hadaa akaona agombee ubunge wa Msalala aweze kuwasilisha ajenda dhidi ya ufisadi kupitia CCM mwaka 1995 akaenguliwa.Na yeye hakuchelewa akahamia CUF,very unfortunate CUF hawakumpa a financial support ya counter nguvu za CCM akashindwa.
Mifano hiyo 2 hapo juu ndiyo inawatisha PCCB wasifanye kazi professionally maana serikali ya CCM imekosa utashi wa kisiasa(Political Goodwill) kupambana na ufisadi!
 
Mengi alipotoa allegations zake ali see prior consultation from Rostam? Halafu unazungumzia habari za mwandishi wa habari makini kwani RA ni mwandishi wa habari? "Akutukanae klabu cha pombe nawe mrudishie matusi yake klabu cha pombe" Sukuma saying

Masatu...is this you au kuna mtu anatumia jina lako kuandika haya??!!!
 
sasa hapa ndipo ushahidi unapopelekwa...

hii kesi ni ya kuthuibitisha ufisadi wa rostam? Kinyume cha hivyo hakuna maana yoyote! Tunataka rostam ahukumiwe kwa ufisadi sio kwa nyangumi kuzidi kutaka utajiri kutokana na pesa za haramu za rostam
 
Hata Mengi naye katika kesi hii ni kama anazunguka mbuyu. Kwa nini asitafute ushahidi dhidi ya tuhuma za ufisadi za RA na kufungua mashtaka ili kesi iwe kweli ya kiini - ufisadi na si hizi za kutaka kusafishwa?

Sina utaalam wa sheria...Mengi anaweza mfungulia Roast tam criminal case,Ufisadi wa Roast tam ni full brown fraud...
 
Haya wajameni patamu hapo.sasa tumsikie nae rostam.unajua ukiangalia sana rostam anajikinga ktk siasa ndo maana badala ya kwenda kutafuta haki mahakamani akakimbilia kwa fisadi wa pccb ili amsaidie kupindua mambo kama alivyofanya ya dowans.si kwamba hosea alikosea kuitetea dowans bali through nguvu za rostam alifanya hivyo.na sasa amekimbilia tene kwa kibaraka wake hosea ili amkandamize tena kama dowans.

Hebu muone jinsi vitengo vinaundwa kuwalinda mafisadi.pccb imeundwa ili ilinde mafisadi na sii kuwafichua.kimsingi ndo hivyo au mnaonaje wana jf hapo.

WACHA ! kWANI HIYO SI ILIKUWA CHANGAMOTO ALIYOTOWA MWENYEWE rOSTAM KWAALIYE NA USHAHIDI AENDE MAHAKANANI. nILIZANIA mENGI ATAKWENDA KUSHITAKI uFISADI WA rOSTAM kUMBE ANAKWENDA KUTAFUTA UTAJIRI. KAMA KWELI ANA LENGO LA KUJITAKASA NA SHUTUMA KUWA SI MWIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA BASI ANGEIGA ALICHOFANYA MANJI>
NINI MAANA YA KUTAKA FEDHA ZA HARAMU ALIZONAZO ROSTAM KAMA KWELI KUWA ROSTAM NI MWIZI.
 
Kwa nini Mengi hakumshitaki RA kwa UFISADI, amnamshtaki kwa kumkashifu na kumzulia tuhuma za uongo!!!!. SELF INTEREST!!!

Good observation.

Hivi Mengi aliposema kama anapambana na ufisadi alikuwa akitania! au? nashindwa kumuelewa. Kama anaweza kuwalipa wanasheria ku file case ili alipwe kwa kukashifiwa ..kina chomzuia ni kipi kupeleka ushahidi wake mahakamani ili ajustify allegations zake.

Mengiiiiiii! hweshi?!
 
At last ngoma imenoga...! Itakuwa tamu pale atakapoulizwa maswali ya Kagoda chini ya kiapo tuone kama atakanusha au vipi..! Nakumbuka hata Clinton suala la Monica liliubuka mahakamani kwenye kesi isiyomhusu Monica directly.......
 
Hii hapa chini inanichefua, kumbe shujaa anajikinga asitajwe, Jee Mwanakijiji upo hapo?
Unataka mtu usiguswe ili ufanye unavyotaka?

Mr Mengi is also asking the court to issue permanent injunction restraining Mr Rostam, the defendant from making and publishing any matter concerning or touching him personally and his business without his consultation. The IPP boss further seeks an order for unconditional apology to him for each and every false remark and matter uttered, published and circulated by the defendant
 
Back
Top Bottom