Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 4,730
- 3,174
Mo dewji foundation.(tafuta na ujue wanafanya nini katika jamii)
Msitumie mgongo wa dini kama kisingizio, kiufupi ukishakua mfanyabiashara moja kwa moja unaingia kwenye kundi la matapeli, huwezi ukawa tapeli halafu ujidai unashika dini. Kama unafanya biashara, na hatukusikii umetoa msaada, basi hutoi, msijifiche kwenye dini, toeni misaada na tuione mkitoa, otherwise ni misaada hewa.unataka kila wanapotoa watangaze??
waislam dini yetu hauruhusu mambo ya sifa hasa wakati wa kutoa msaada
SIJASEMA MENGI KAJITANGAZA WALA ANA SIFA mungu amtangulie kwa moyo wa imani kwa kuguswa na kusaidia
Msitumie mgongo wa dini kama kisingizio, kiufupi ukishakua mfanyabiashara moja kwa moja unaingia kwenye kundi la matapeli, huwezi ukawa tapeli halafu ujidai unashika dini. Kama unafanya biashara, na hatukusikii umetoa msaada, basi hutoi, msijifiche kwenye dini, toeni misaada na tuione mkitoa, otherwise ni misaada hewa.
Kama serikali na raslimali zote tulizo nazo lakini haishikiki kwa kuomba, sisi raia tunajifunza nini?Watanzania mnapenda vya dezo.
Ah hiyo mkuu umesema wewe akija humu namuambia mwenyewewasheli?? unamanisha ni mzibuaji ama??
Biashara hazijaharamishwa, kama kwenye biashara yako kuna kautapeli unafanya ni juu yako. hata hivyo ZAKA kwa mujibu wa uislam inatakasa biashara. pamoja na hivyo Riya (kutoa kwa matangazo) imekatazwa. hata hivyo ametoa ama hajatoa ni juu yake.Msitumie mgongo wa dini kama kisingizio, kiufupi ukishakua mfanyabiashara moja kwa moja unaingia kwenye kundi la matapeli, huwezi ukawa tapeli halafu ujidai unashika dini. Kama unafanya biashara, na hatukusikii umetoa msaada, basi hutoi, msijifiche kwenye dini, toeni misaada na tuione mkitoa, otherwise ni misaada hewa.
Tuishie hapoBiashara hazijaharamishwa, kama kwenye biashara yako kuna kautapeli unafanya ni juu yako. hata hivyo ZAKA kwa mujibu wa uislam inatakasa biashara. pamoja na hivyo Riya (kutoa kwa matangazo) imekatazwa. hata hivyo ametoa ama hajatoa ni juu yake.
Watu hawajui ya kwamba uislam hauruhusu matangazo wakati kusaidia,hivyo huwaona tu wale wanaojitangaza kama afanyavyo mzee mengi. ktk wafanyabiashara hao watatu sidhani kama kuna anayeweza kumfikia mzee SSB kwa kusaidia jamiiMzee S.S Bakhresa umemuonea mkuu. Nilishawahi kuwa na mgonjwa alilazwa hospital ya Mwananyamala,kila asubuhi niliyokuwa pale kuna wafanyakazi wa Azam walikuwa wanapita wodini asubuhi na kugawa juice,keki na mikate kwa wagonjwa bureeee. Nilipohoji nikaambiwa huo ni utaratibu wa Azam katika baadhi ya Hospitali za umma.
Wewe huna lolote ,umekuja hapa kuponda imani za watu na kusifia imani yako.kwa taarifa yako sisi kutokana na imani yetu kutoa msaada kwa kujitangaza ni dhambi kama anavyofanya huyo jamaaa yako.Bali kutotokana tumearishwa na ALLAH kutoa pasina kujitanga .mtoa mada acha udini utasalimika.Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Mfuatilue kashfa zinazo mkumba huyo.usiingize masuala ya dini katk mambo yako.kwani nchiii mengi ndio tajiri pekee kwa upande wa kristo? Mbona hao wakristo wengine wasiotoa mbona usemi dini yao ndio imefanya hivyo?Msitumie mgongo wa dini kama kisingizio, kiufupi ukishakua mfanyabiashara moja kwa moja unaingia kwenye kundi la matapeli, huwezi ukawa tapeli halafu ujidai unashika dini. Kama unafanya biashara, na hatukusikii umetoa msaada, basi hutoi, msijifiche kwenye dini, toeni misaada na tuione mkitoa, otherwise ni misaada hewa.
Ni kweli kabisa mkuu. Mimi ni muumini wa kikristo lakini naamini katika huo utaratibu wa kusaidia bila matangazo.Watu hawajui ya kwamba uislam hauruhusu matangazo wakati kusaidia,hivyo huwaona tu wale wanaojitangaza kama afanyavyo mzee mengi. ktk wafanyabiashara hao watatu sidhani kama kuna anayeweza kumfikia mzee SSB kwa kusaidia jamii
Useme na anachotoa maana kiswahili ni lugha tata sanaBakreresa anatoa sana
Pia ni muhimu ajue kwamba ....hizo pesa kwenye hesabu zake za mwisho wa mwaka... Na kutokana na hiyo Atapata tax relief.Media ni kitu kizuri na kibaya sana: hakuna dini inayopenda mtu akitoa msaada kujitangaza, na kufanya hivyo ndio unatoka nje ya kusudio la kutoa msaada na badala yake kuonekana kama umejitangaza.
Sio wote watoao misaada wanapenda kijulikane walichotoa au kujulikana.
PorojoTafuta. Na kama si mwema bakhressa basi tz hamna mwema.
Hapo hasaidii jamii, awajengee hospitali, shule au hata nyumba ya kuwatunza hao anaowagaia.Baka akitoa pesa kwa masharti asitangazwe ndio Dini yake inavyotaka... ila sifa yake hajawahi kwenda Mecca sababu anapenda washeli za wafanyakazi wake... Nenda home kwake pale Masaki nje kama klabu cha omba omba migao ya pesa kila siku
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.