DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Wajanja wa Kaskazini washastukia kuwa walikuwa wanalishwa Kassa...amebaki Mbowe tu kufanya maamuzi magumu
Unaweweseka,hayo malori ndo yatapiga kura?? Watu hao hao mnazunguka nao kila kona,mnawahutubia jimbo hili leo,kesho watu hao hao jimbo lingine,watu wameamka
Kwani mtu mmoja akiondoka na 50 wakiingia kuna hasara hapo?
Wanaoondoka ukawa ni wachache kuliko wanaoingia ukawa!ushindi ni lazima octoba 25
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo
Machaga hayajui siyasa zaidi ya kutukana ndiyo maana hata mapenzi hayajui tena ni wauza vyombo na vitenge ndiyo watukanaji hao'kisa hawataki kulipa kodi nyoooo kuna inchi isyotoza kodi hapa duniyani?!!!!!!jingaa nyie
Mengi ni mtanzania mwenye misimamo yake, Huwezi kumfananisha na nyumbu wenye kutegemea mishahara toka Chama Cha Mapinduzi. Labda ulichotaka kuandika hapa ni habari za Juma Nature na Aunti ambao hawana impact yoyote katika siasa ya Tz. Na kwa taarifa yako kati ya CCM na hawa wasanii walio win game ni wasanii kwani wanachukua fedha pasipo kuhamisha fikra za watanzania walio amua kukipiga chini chama cha mapinduzi. Alikufa mwl. Nyerere na CCM ikabaki sembuse hawa ndorobo.
No alitumbuiza cku ya uzinduzi wa ukawa vs lowasa wewe unamsema anaedai kua atakua mbunge wa moro sio?
Mtu ukiwa ndani ya ukawa unakuwa mtu safi na mtakatifu sana ila ole wako utoke unakuwa msaliti na mchafu kama jalala twende mbele turudi nyuma ukawa wamepoteza uhalali na sifa ya kuhubiri uhadilifu kitu ambacho kilikuwa ni nguzo za chama lakini sasa... hautokaa usikie tena wakihubiri hilo na hawa viongozi wawili waliovamia ukawa watawacost sana tumekuwa wanachama kwazaidi ya miongo minne tukisapport nakukipenda chama ila kwakilochotokea na kinachoendelea sasa naonatunafanya maigizo tu. Kama siyo mshabiki ukisikiliza hoja na sera za mgombea urais unapata wasiwasi labda kama tutashinda kwa wingi wa watu.
Tumechoka.Mabadiliko lazima.Itv mnaonyesha habari halisi za UKAWA saa 12 asubuhi, mnaogopaga nini?!
Tafadhali mfano ya mda huu ambayo wananchi walikua kwenye mkutano wa ccm baada ya kuona wa mgombea mwenza wa UKAWA anapita, wakaondoka wote kwenda kulala barabarani wakitaka aongee chochote, muirudie saa 2 usiku.
AK 47 anatumia magufuli inaitwa 'kazi tu! na mabadiliko bora' wakati EL ana gobole linaitwa 'elimu elimu elimu' (maana yake wafuasi wa ukawa mnahitaji sana mpewe elimu).Eti mafuriko na mabadiliko(kutaka kuitoa ccm bila sera za msingi) mmechemsha maji yenye OMO yakitokota ni povu hahahaa. sisi ni mbelee kwa mbelee