Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
mengi ndivyo alivyo,huwa anakuja kugeuka katika baada ya kupima upepo....

nchimbi yeye alinusa mapema akakaa kando...



itakua vizuri kama magufuli aytamrudisha nchimbi katika wizara yake ya mambo ya ndani

Hiyo wizara inamfaa mwigulu 100%
 
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo

Kwanza ni wasanii hapo km sio usanii unategemea nn usihangaishe brain tuliasindanoya tetanus itandungwa trh 25 October ss mbona mcheche km kuku mtetea vp
 
Machaga hayajui siyasa zaidi ya kutukana ndiyo maana hata mapenzi hayajui tena ni wauza vyombo na vitenge ndiyo watukanaji hao'kisa hawataki kulipa kodi nyoooo kuna inchi isyotoza kodi hapa duniyani?!!!!!!jingaa nyie
 
Wanaoondoka ukawa ni wachache kuliko wanaoingia ukawa!ushindi ni lazima octoba 25

Ni kawaida ya binadamu kujifariji hata kama anaona mwisho unakaribia.

UKAWA mnavyopenda sifa na kuonekana kama kweli watu wengi wanahamia kwenu basi lazima tungeona hizo habari kila mahali.
 
Wanacdm msiwasikilize hao mengi ameongelea wapi . Dakd hii channel zake zilikuws zinarusha mambo ya ukawa live. Akiongea mbatia na pr.baregu. Waongo wasimpakazie mzee wetu. Pipooooz.
 
Hayo Ni maoni ya mzee mengi Ni hali yake sio kwamba akiongea lazima itimie yeye Ni mmoja miongoni mwa mamilioni ya watz wanaotaka mabadiliko.
aunty Ezekiel,ray na juma nature ni njaa inawahangaisha
 
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF

Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0

Kitengo cha IT masaki.
 
Kaondoka Katibu wa chama na UKAWA ilibakia;
Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature watatikisaje kwa mfano?
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Mkakati wenu huo ulivuja kabla hata hamjawachukua hao wasanii kwa milioni 50 ... subirini oct. Alafu mlikuwa mmegoma wiki mbili zilizopita baada fungu kugawa mmeanza kujamba huku kwa mitandao na media zote, na twawrza na redet walete utafiti wa kupika. Hahhahaha. Mungu ashawaona
 
Machaga hayajui siyasa zaidi ya kutukana ndiyo maana hata mapenzi hayajui tena ni wauza vyombo na vitenge ndiyo watukanaji hao'kisa hawataki kulipa kodi nyoooo kuna inchi isyotoza kodi hapa duniyani?!!!!!!jingaa nyie

mkuu hivi huwezi kutumia akili kupost hapa????? change man u'r growin
 

Attachments

  • 1442350249641.jpg
    1442350249641.jpg
    38.9 KB · Views: 221
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom