Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Pole kojowaaa ulale . Sijuwi unaandika nn mwone. Akili ndogo kama ya kondooo
 
Mpuuzi muwongo aliyeanzisha mada ya uwongo; kutuwekea picha ya reginald mengi ndo nini; huna akili ccm wahead. Pipoooz!
 
Hayo Ni maoni ya mzee mengi Ni hali yake sio kwamba akiongea lazima itimie yeye Ni mmoja miongoni mwa mamilioni ya watz wanaotaka mabadiliko.
aunty Ezekiel,ray na juma nature ni njaa inawahangaisha

Wewe unahangaishwa na nini?
 
Mi nabaki...
Na by the way... mimi na Mengi, wote tunapiga kura moja moja...
 
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF

Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0

Huyo ni kama mwanafunzi anayejifunza kuandika,kila sehemu atakayoiona ataandika tuu hata kama hapastahili kuandikwa,yaani huu ni ushamba wa kitambo sana unapost post tuu hata upuuzi
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu
Karibu JF, umejiunga juzi tarehe 12/09/2015 naona unakomaa kukusanya hela za ccm..wenzio walianza taratibu we unakurupuka
 
Mengi ni mtanzania mwenye misimamo yake, Huwezi kumfananisha na nyumbu wenye kutegemea mishahara toka Chama Cha Mapinduzi. Labda ulichotaka kuandika hapa ni habari za Juma Nature na Aunti ambao hawana impact yoyote katika siasa ya Tz. Na kwa taarifa yako kati ya CCM na hawa wasanii walio win game ni wasanii kwani wanachukua fedha pasipo kuhamisha fikra za watanzania walio amua kukipiga chini chama cha mapinduzi. Alikufa mwl. Nyerere na CCM ikabaki sembuse hawa ndorobo.
 
Leo nimepiga simu na kuongea na ndugu zangu huko vijijini,nimewashawishi ndugu zangu 10 ,na watampigia kura lowasa.Ninaendelea kutumia simu kuongea na kutext kwa jamaa na marafiki kila kona ya nchi.Mtu mmoja kutoka sio kitu.kila mtu mwezi huu awasiliane na jamaa zake ,kweli inafanya kazi nimeona.CCM LAZIMA ATOKE MADARAKANI SAFARI HII,KILA MTU NI MWAMASISHAJI

Tehtehteh Malofa ktk ubora wake...
 
Tehtehteh.. Yeah, kuna hasara.. Hasa hayo 50 yote yakiwa ni Malofa... Au ma nyumbu.. Teh teh ni hasara kubwa sana ndg...

Fikiria kwa mapana zaidi. Hapo anamaanisha; KURA MOJA IMEONDOKA HALAFU ZIMEKUJA KURA 50. je, kuna hasara hapo?
 
Leo nimepiga simu na kuongea na ndugu zangu huko vijijini,nimewashawishi ndugu zangu 10 ,na watampigia kura lowasa.Ninaendelea kutumia simu kuongea na kutext kwa jamaa na marafiki kila kona ya nchi.Mtu mmoja kutoka sio kitu.kila mtu mwezi huu awasiliane na jamaa zake ,kweli inafanya kazi nimeona.CCM LAZIMA ATOKE MADARAKANI SAFARI HII,KILA MTU NI MWAMASISHAJI

Itakuwa uliwatumia na Mpesa, pesa zako wanalamba na wakumchaguwa ni Magufuli.
 
Mengi Hajawahi Kuwa MWANACHAMA WA UKAWA, MENGI NI MWANACHAMA HAI WA C.C.M,TAWI LAKE LA UANACHAMA WA C.C.M LILIKUWA DAR, BAADAE ALIUHAMISHA UANACHAMA WAKE WA C.C.M KUTOKA DAR HADI SHANTY TOWN BAADA YA KIONGOZI WA C.C.M NGAZI YA MKOA KUMTUHUMU MENGI KUWA HAITAKII MEMA C.C.M KWANZA SI MWANACHAMA HAI,HALIPII KADI YA C.C.M, NDIPO MENGI ALIPOIBUKA NA KUDAI YEYE NI MWANAC.C.M NA KADI YAKE AKAITAJA NA AKASEMA KILA MWEZI HUILIPIA KADI YAKE, NA HUTOA MILION MIA MOJA KWA MWEZI KUWAPA C.C.M,BAADAE WALIMUOMBA MSAMAHA MENGI NA MENGI KWA HASIRA AKAHAMISHA UANACHAMA WA TAWI AKAPELEKA SHANT TOWN,HVY MILION MIA MOJA ANAZOCHANGIA ZINAENDA KWENYE TAWI LA HUKO MOSHI, Kama Wapo Wanaokumbuka Sakata Hl Warekebishe Pale Nilipokosea,ila Kumbukumbu Zangu Ndo Hz, Halafu Mengi Hakuwahi Kuwa Kambi Ya Lowasa, Mengi Alikuwa Kambi Ya Samwel Sita,james Lembeli,mwakyembe Hata Alitembelea Jimbo La Sita Akashiriki Kutoa Mchango Mkubwa Sana, Nakumbuka Kwa James Lembeli Alitoa Milion Mia Moja Kusaidia Vicoba Hadi James Lembeli Akaimba Pambio.
 
Fikiria kwa mapana zaidi. Hapo anamaanisha; KURA MOJA IMEONDOKA HALAFU ZIMEKUJA KURA 50. je, kuna hasara hapo?

Tehtehteh hebu nawewe fikiria kidogo... Uliona wapi Malofa au ma nyumbu yakapiga kura?? Kwanza hayajielewi na huwa yapo kufuata mkumbo tu... So ni hasara tu.... Impact ya Mengi huwezi ukailinganisha na Malofa yoyote hata yawe 100.. Teh teh...
 
Mtoa Mada Usipotoshe Watu, Mengi Hajawahi Kuwa Ukawa Wala Upande Wa Lowasa, Mengi Mpaka Sasa Ni Mwana C.C.M, Rejea Pale Kiongozi Mmoja Wa C.C.M Wa Mkoa Wa Dar Alipomtuhumu Mengi Kuwa Hata Kadi Ya C.C.M Hana Wala Kutoa Mchango Wowote Kwa C.C.M Halafu Anapenda ikosoa C.C.M, Ndipo Mengi Aliibuka Na Kusema Ya Ni Mwana C.C.M, Nakumbuka Alitaja Na Kadi Na. Yake Na Tawi Na Hutoa Mchango Wa Milion Miamoja Kila Mwezi, Uanachama Akahama Kutoka Dar Hadi Shant Town Huko Kwake. Pia Mengi Alikuwa Ni Kundi Moja Na Mitume Kumi Na Mbili, Sasa Lini Alitangaza Kuwa Mwanaukawa? MENGI NI MWANA C.C.M AMBAE HANA UKADA,CHAMA CHAKE KIKIKOSEA HUWA ANAKIKOSOA WAZI WAZI,WAKATI MWINGINE UNAWEZA UKAHISI SI MWANA C.C.M,
 
Leo nimepiga simu na kuongea na ndugu zangu huko vijijini,nimewashawishi ndugu zangu 10 ,na watampigia kura lowasa.Ninaendelea kutumia simu kuongea na kutext kwa jamaa na marafiki kila kona ya nchi.Mtu mmoja kutoka sio kitu.kila mtu mwezi huu awasiliane na jamaa zake ,kweli inafanya kazi nimeona.CCM LAZIMA ATOKE MADARAKANI SAFARI HII,KILA MTU NI MWAMASISHAJI

Kwa hiyo wakati wa kupiga kura utakuwa nao kwenye kisanduku?
 
Unaangalia Mizani inaangukia wapi Kaka! Hata Lowassa mwenyewe analijua hilo na rohoni anajutia Maamuzi ya kwenda UKAWA pamoja na kuwa ni mpango wa CCM wa muda mrefu wa kuahakikisha wanauwa upinzani kwa kuwaingiza watu wao CHADEMA ili kuunyamazisha upinzani bila wao kujua.CCM KIBOKO YAO KAKA!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom