Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Ukisema tu ushindi asilimia 100 ujue unaropoka, hata mtoto mdogo atakudharau ww n div five.

Eti ant Ezekiel, hana kitu kabisa.
Ndo maana jamaa yangu nilimshaur amkache.
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Yaani unamweka ray, aunt ezekiel, juma nature katika kundi na level moja na mzee mengi? kichwa chako hakiko sawa.
 
Itv mnaonyesha habari halisi za UKAWA saa 12 asubuhi, mnaogopaga nini?!
Tafadhali mfano ya mda huu ambayo wananchi walikua kwenye mkutano wa ccm baada ya kuona wa mgombea mwenza wa UKAWA anapita, wakaondoka wote kwenda kulala barabarani wakitaka aongee chochote, muirudie saa 2 usiku.

Ni kweli kabisa, kama Chadema walitaka ushindi wangetumia sanam ya Lowasa kwenye Jukwaa watu wakamwamini kama sanam ya bikira Maria, kuliko ambavyo kila siku ubora wake unashhuka kila siku mara azomewe au ashindwe kupanda ngazi mpaka apewe tanganyika jeki.

Dr.Slaa Ameshasema tusichangue Rais kwa ushabiki kumchagua Lowasa ni sawa na kumchagua kikwete. wote wahuni wahuni tu (rip Mwl Nyerere).
 
ccm ndembe ndembe ndomana wanatumia nguvu na gharama kubwa mno huku wakiwa hawana sera mpya.

hata wao wanakiri mabadiliko yanawatesa ndomana wanafanya mbinu chafu nyingi na.bado zina shindwa walochoweza pekee ni kubeba watu kwenye malory ili wakamwone Dimond akipiga show
 
Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kumchagua kiongozi kwa sababu eti tu wanasapotiwa na anti Ezekiel na Ray!! Yaan machangudoa wakuinfluence wewe kuchagua kiongozi!! Mleta thread una matatizo ya akili
 
Ccm yanini hali ilikuwepo miaka 50 hapa dar hata kupanda daladala shida acha ipumzike tuwngalie chama kingine kijengevjamii
 
Ni kweli kabisa, kama Chadema walitaka ushindi wangetumia sanam ya Lowasa kwenye Jukwaa watu wakamwamini kama sanam ya bikira Maria, kuliko ambavyo kila siku ubora wake unashhuka kila siku mara azomewe au ashindwe kupanda ngazi mpaka apewe tanganyika jeki.

Dr.Slaa Ameshasema tusichangue Rais kwa ushabiki kumchagua Lowasa ni sawa na kumchagua kikwete. wote wahuni wahuni tu (rip Mwl Nyerere).

Nasisi ukawa tunasema usimchague makufuli kwa ushabiki wa ccm..kwani kwa ujumla wake ccm imeoza
 
Hivi wasanii wasiojua masuala muhimu ya kitaifa wanaweza kubadilisha fikra za watu eti wameondoka kwa mtaji gani wa ushawishi walionao? mtu wa kuhamishwa na wasanii wa hulka ya uliowataja hawapo ktk jamii ya leo.
 
Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kumchagua kiongozi kwa sababu eti tu wanasapotiwa na anti Ezekiel na Ray!! Yaan machangudoa wakuinfluence wewe kuchagua kiongozi!! Mleta thread una matatizo ya akili

Tatizo Ccm wamelewa madaraka kwa pesa za ufisadi.wewe wananchi wanakula mlo mmoja.hayo masikio au macho ya kuwaingiza ndani ya mioyo yao.hao wasaani mpaka wawashawishi .unatokea wapi ?? .ccm sio wazima !!
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Hivi WASANII wana umuhimu gani katika siasa ya Tanzania?
 
Tulia dawa ikuingie acha kuweweseka, mwaka huu ni Lowasa tu!
Wewe M4C unajua nini wakati 4U Movement imeshatoa maelekezo kuwa M4C wote mkajiunge na Red Brigade na muwaachie swala la strategy wao??
 
Mengi nikura moja tuu..itapotea .so atoke tuu .ametoka Dr Slaa na Mashumbusi kura mbili hizo itakuwa Mengi kura moja.ccm ziiiiiiiiiii .ukawa hoyeeeee
 
Lowassa kuwa rais ni sawa na Tz leo kujidai itapeleka wanahanga mwezini ...hizi ni ndoto za kimaskini kabisa
 
Mengi ana kura moja tu, hana impact katika mawazo ya watz wanaotaka mabadiliko.Mwaka huu maccm mtakuja na kila aina ya viroja ili kujipunguzia maumivu.Lowasa ndiye rais wenu
Jombaa...Lowassa atabaki kuwa rais wa UKAWA...na hata hivyo, baada ya 28 October, atatoka kuwa rais wa UKAWA kuwa katibu mkuu msaidizi wa Chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom