UkomboziMpya
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 465
- 179
Mabadiliko yanapatikana kwa taabu kwelikweli!
Naamini kama unapiga kampeni lazima uwe mwangalifu ili ujenge hoja za nguvu. Inasikitisha sana hata kuedit (kuhariri) maandiko yetu siku hizi hatufanyi, najiuliza hizi haraka za nini?Huyo ni kama mwanafunzi anayejifunza kuandika,kila sehemu atakayoiona ataandika tuu hata kama hapastahili kuandikwa,yaani huu ni ushamba wa kitambo sana unapost post tuu hata upuuzi
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA
Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"
Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"
Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu
Mabadiliko yanapatikana kwa taabu kwelikweli!
wakati anakunongoneza haya mambo mlikuwa hoteli gani na chumbani namba ngapi bbie
Halafu hilo ni dume linajiita Aisha!!? Aisee!!!
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF
Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0
Hdi Juma Nature nae kawa dili uchaguzi huu..dah
Hayo Ni maoni ya mzee mengi Ni hali yake sio kwamba akiongea lazima itimie yeye Ni mmoja miongoni mwa mamilioni ya watz wanaotaka mabadiliko.
aunty Ezekiel,ray na juma nature ni njaa inawahangaisha
Tumechoka.Mabadiliko lazima.
Itv mnaonyesha habari halisi za UKAWA saa 12 asubuhi, mnaogopaga nini?!
Tafadhali mfano ya mda huu ambayo wananchi walikua kwenye mkutano wa ccm baada ya kuona wa mgombea mwenza wa UKAWA anapita, wakaondoka wote kwenda kulala barabarani wakitaka aongee chochote, muirudie saa 2 usiku.
Hiyo nimeipenda na ni ishara nzuri ya mabadiliko ya kweli ya kuiondoa ccm madarakani
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF
Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0
Mengi anaondoka na nguzo yote ya kaskazini...
Mkuu umenena vizuri sana...momentum inepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..Gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapa kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Amakweli 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Inauma sana lakini hakuna jinsi