Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Hawa ndiyo wale vijana wa kitengo cha IT-masaki chini ya JM.
Kama unalosema ni kweli basi hii inatokana na kuamini vijana wasio na uzoefu katika uongozi wa siasa. Chama cha Siasa makini lazima kithamini UZOEFU la sivyo ni majanga.
 
Ukiona mtu anamuita lowasa fisad uku akishabikia ccm ujue anaupungufu wa kufikilia.
 
Tatizo Ccm wamelewa madaraka kwa pesa za ufisadi.wewe wananchi wanakula mlo mmoja.hayo masikio au macho ya kuwaingiza ndani ya mioyo yao.hao wasaani mpaka wawashawishi .unatokea wapi ?? .ccm sio wazima !!

Ungekula mmoja ung'ang'ana na uzi kila dakika?
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

"Aisha Ngedere katika ubora wake "
 
...................

"ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Wewe Aisha Iddi naona biashara yako ya vitumbua inakulevya, yaani unaridhika na hicho unachopata hata kuwapeleka watoto shule huwezi.

1. Hapo kwenye rangi nyekundu weka 'Kikwete na familia yake pamoja na wapambe'
2. Kwenye kijani weka 'Edward Lowassa'
3. Na hapo kwenye blue wek CCM
 
Huyu naye ni wale wale angalia kaanza lini. Naamini kuanzia tarehe 25.10.2015 hatutamwona JF

Join Date : 25th August 2015
Posts : 33
Rep Power : 309
Likes Received12
Likes Given0

Hee mwezi na nusu posts 33 nae ni mama lwao kweli. Kwanza atuambie ni kikao au mkutano upi Mengi alipotangaza kuwa yupo kambi Lowassa na hivyo hivyo ni kikao gani alitangaza kujitoa na kujiunga na kambi Magufuli.
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

Huu UZI amekuandikia shemeji yetu ambaye alitoswa uenyekiti wa serikali ya mtaa. Pole saana dada AISHA.
 
mtoa post unaumwa subiri tu nawe siku yako kufa taratibu inakaribia nenda ukapime afyav yako
 
Tatizo kayumba school ndio hii mengi na hao wasanii wana impact gani? Omba ada kwa ndugu urudi shule
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

sasa kama kaondoka ,sisi inayuathiri nini?kwamba vyombo vyake vitamtangaza sisiyem?,hawez mabilisha msimamo shoka liko shinani 25/10 tunamalizia tuuu
 
mengi sio mbinafsi kama matajiri wengine nina uhakika 100% hana chuki na UKAWA. yuko fair km mustaf sabodo hawa jamaa ni makini saaaana nia watetezi wa wanyonge.
 
Ukiwasikiliza na kusoma wanacholeta utadhani wameacha ufisadi,EL tumemwambia apumzike kujinadi sisi tumeshaamua.
 
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu
Mzee Mengi anajitambua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom