Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Leo ndio amejiita hivyo hata mm nimemsikia, sijui amebadili jina au mbwembwe2
 
Kama ulikuwa msikilizaji mzuri wa kipindi chake cha Lugha yetu ya Kiswahili siku ya Jumamosi pale Radio One Sterio na akina Makii Hassan huwezi uliza swali hilo.
 
Kama ulikuwa msikilizaji mzuri wa kipindi chake cha Lugha yetu ya Kiswahili siku ya Jumamosi pale Radio One Sterio na akina Makii Hassan huwezi uliza swali hilo.

Maneno yako kuntu kabisa! Alikuwa akijitambulisha kwa majina yote... Regina Mziwanda Mwalekwa! Alikinogesha sana kipindi alipokuwapo yeye,tofauti na sasa.
 
Maneno yako kuntu kabisa! Alikuwa akijitambulisha kwa majina yote... Regina Mziwanda Mwalekwa! Alikinogesha sana kipindi alipokuwapo yeye,tofauti na sasa.

Nikweli mkuu kipindi kimekosa mtu kama yeye sasa hakinogi ila acha afanye kazi zaidi ni kujituma kwakwe ndio kumemfikisha huko.
 
Hivi regina mwalekwa amehamia bbc? Nimemsikia bbc akijitambulisha kama regina mziwanda. Mwenye taarifa kamili anijuze

Anakaribia kumaliza mwezi tangu ahamie BBC, yeye na Arnodl Kayanda kutoka Clouds Media. Mada hio ipo hapa JF, isake usome kwa undani
 
Inawezekana kaachana na ubachela na jina ndiyo limebadilika
 
Mbona yule age imeenda sana.

Kwani age ikienda hawezi kuolewa? Mziwanda nadhan ni Mumewe sina uhakika na hilo! Hata hivyo hongera yake dada!: Radio Uhuru( Uhuru Fm)- Radio One Stereo- Clouds FM- BBC Swahili, hongera mdada!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom