Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Sasa analia nini wakati slip salary yake haitakuwa sijui PAYE,sijui NSSF or PFF ,sijui Debt deduction on Vehicle.hahaha all the best Regina tutakupata kumi na mbili na nusu jioni sasa na asbh.
 
Nakumbukia chombeza ya rose chitallah

Huyo dada alikua anajiita rc computer aisee namkubali sana na aliwahi kusimulia stori ya Karen na Jons yaani niliburudika sana. Sijui kwa sasa yuko wapi huyu mama?
 
Nimekuwa nikijiuliza nini kinafanya Mtangazaji Bora kabisa kama huyu asipae kimataifa? Nadhani sasa swali langu limepata jibu. Namkubali zaidi ya sana, hasa katika kukuza lugha ya kiswahili na matumizi fasaha ya lugha hiyo....

Kaitangaze Tanzania Mama, Kaikuze Lugha yetu adhimu ya Kiswahili Kimataifa....Kila la heri

Kama ni kufurai mi nimefurai sana......kuna siku moja yapata miaka 4 nyuma..niligongana nae uso kwa uso pale MWENGE KWA WAPAKA rangi.....kamaataisoma hii atakumbuka mana tuliongea mengi ikiwepo ile ya Joyce Mhavile kumfitinisha NA MENGI kwamba hata angefaya nini ni BURE KABISA kweli aliiaga RADIO ONE AKILIA kwani alikuwa anaipenda na kuipenda KAZI yake....sasa kuhusu BBC ni swali nililomuuliza akasema anapenda hata kufanya iyo mipango ila kikwazo si kwamba hajawai kupata wa kumuunganisha au viwango vyake hawajavisikia la hasha tatizo lilikuwa watoto!kwamba ALICHELEWA kuzaa ivyo angependa awalee mwenyewe kwanza au katika kumchukua aende na FAMILIA mana kuna wakati unatakiwa wewe kama wewe kwa kuanzia!.......................pole kwa JOYCE MHAVILE.....ULIDHANI UMEMKOMESHA..WE BAKI HAPO HAPO!!!
 
Huyo dada alikua anajiita rc computer aisee namkubali sana na aliwahi kusimulia stori ya Karen na Jons yaani niliburudika sana. Sijui kwa sasa yuko wapi huyu mama?

Mara ya mwisho alikuwa australia
 
Vipi ule ugomvi wenu wa jana umeisha?

uishe wapi ndugu yangu.....nakusilhi ulisome mtanzania la jana jinsi gwaji anavyojikanyaga utajua DUNIA HII NI DUNIALE!!!
ETI frola alikimbiwa na mume baada ya kubakwa akawa hana pesa za matumizi ndo akaitisha harambee>>>jamani msiamini..amenunuliwa prado na waumini?amefamya ivyo kwa waumini wangapi///PLEASE GWAJI LEAVE MBASHA ALONE!!
 
Daaa! Muheshimiwa nimekuelewa, usiku mwema.
 
Kama ni kufurai mi nimefurai sana......kuna siku moja yapata miaka 4 nyuma..niligongana nae uso kwa uso pale MWENGE KWA WAPAKA rangi.....kamaataisoma hii atakumbuka mana tuliongea mengi ikiwepo ile ya Joyce Mhavile kumfitinisha NA MENGI kwamba hata angefaya nini ni BURE KABISA kweli aliiaga RADIO ONE AKILIA kwani alikuwa anaipenda na kuipenda KAZI yake....sasa kuhusu BBC ni swali nililomuuliza akasema anapenda hata kufanya iyo mipango ila kikwazo si kwamba hajawai kupata wa kumuunganisha au viwango vyake hawajavisikia la hasha tatizo lilikuwa watoto!kwamba ALICHELEWA kuzaa ivyo angependa awalee mwenyewe kwanza au katika kumchukua aende na FAMILIA mana kuna wakati unatakiwa wewe kama wewe kwa kuanzia!.......................pole kwa JOYCE MHAVILE.....ULIDHANI UMEMKOMESHA..WE BAKI HAPO HAPO!!!
Alichelewa kuzaa kumbee...au aliwahi kuwa sista alipokuwa Tumaini Radio nini?
 
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!
very wrong mkuu. Regina kaibuliwa na Radio Tumaini na ni mmoja wa watangazaji wa mwanzo kabisa wa Radio Tumaini wakiwa na Mama Katunzi na Fr Francois ambaye sasa yuko Radio Vatican iliyoko Roma, Italia. Alifanya kazi Radio Tumaini kwa zaidi ya miaka saba kabla ya kwenda Radio One
 
Jaman ur my role model kip shining mamy nakutakia kila lakheri kaitangaze vyema nchi ye2!
 
very wrong mkuu. Regina kaibuliwa na Radio Tumaini na ni mmoja wa watangazaji wa mwanzo kabisa wa Radio Tumaini wakiwa na Mama Katunzi na Fr Francois ambaye sasa yuko Radio Vatican iliyoko Roma, Italia. Alifanya kazi Radio Tumaini kwa zaidi ya miaka saba kabla ya kwenda Radio One

Mbona mimi namkumbuka akiwa RFA kabla ya kuhamia Radio One? Na kule alikaa muda gani?
 
Bourgeoisie Mwalekwa hajawahi kufanya kazi rfa utakuwa umechanganya na radio tumaini. Alipotokq tumaini alihamiq radio uhuru akafanya kazi na akina abubakar liongo na masoud masoud kisha ndio akahamia radio one then clouds
 
Last edited by a moderator:
Hivi regina mwalekwa amehamia bbc? Nimemsikia bbc akijitambulisha kama regina mziwanda. Mwenye taarifa kamili anijuze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom