Regina Mwalekwa atimba Clouds FM

Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa

Hata mimi hapo ndo ninapopata shaka, labda kama Clouds Media wanataka kubadili strategy yao!! Kwa ilivyo sasa ni bora usikilize Radio Uhuru FM (inayomilikiwa na CCM) kuliko Clouds FM.

Jamaa wa Clouds especially Ephrahim Kibonde, Gerald Hando na Gadner wamekuwa kama nyumba ndogo ya Mkuu wa Kaya!!
 
mi sipati hata mstuko, na maswala ya kawaida kazini, labda kama mtu ni muoga wa changamoto, na kwa WATANZANIA wenzangu , tusipende kudumu kwenye ajira moja miaka 30, lazima tuwe tunapenda mazingira mapya na changamoto mpya.
ITV/radio one walimpata Regina Mwalekwa toka Radio Tumain, na hadi leo Radio Tumaini inapasua anga,
REGINA safi sana, pale clouds, KUNA VILAZA WENGI WA KAZI HUENDA AKAWA MKUFUNZI WAO, na kwa Radio one , huo ni wakati wakusonga mbele, na kama mna majungu ndani yenu mjisafishe.
 
Ndugu yangu unafikiri mtu huwa anapenda kukaa kwenye ajira hiyo hiyo kwa muda mrefu?
Hizo ajira zenyewe siku hizi ni za kujuana so huwezi kubadili tu kama unavyotaka.
 
Hata mimi hapo ndo ninapopata shaka, labda kama Clouds Media wanataka kubadili strategy yao!! Kwa ilivyo sasa ni bora usikilize Radio Uhuru FM (inayomilikiwa na CCM) kuliko Clouds FM.

Jamaa wa Clouds especially Ephrahim Kibonde, Gerald Hando na Gadner wamekuwa kama nyumba ndogo ya Mkuu wa Kaya!![/QUOTE]

duh ....
 
kipindi cha kiswahili kila siku ya jumamosi inayosikika kupitia redio one itaboa lazima!!!!!!
 
Kwanza nasikitika kwamba nilimzoea Regina Mwalekwa kwa vimbwenga vyake katika kile kipindi cha Lugha ya kiswahili. Pili nasikitika kwamba Radio One wamepoteza chombo ila Wakaze boot watapata kingine tu.
 
Hata mimi hapo ndo ninapopata shaka, labda kama Clouds Media wanataka kubadili strategy yao!! Kwa ilivyo sasa ni bora usikilize Radio Uhuru FM (inayomilikiwa na CCM) kuliko Clouds FM.

Jamaa wa Clouds especially Ephrahim Kibonde, Gerald Hando na Gadner wamekuwa kama nyumba ndogo ya Mkuu wa Kaya!!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Radio Clouds FM ni wabunifu na vipindi vyao ni vizuri tu.
Ukimsema mtu ukiona amekasirika ujue ujumbe umefika, clouds fm kupitia vipindi vyao vya power breakfast, leo tena na jahazi, wamekuwa wakiijulisha jamii mambo mbalimbali.
Binafsi naipenda clouds fm na nadhani regina mwalekwa ataongezea ubunifu zaidi ili kukonga nyoyo za wasikilizaji wa clouds fm. Na leo nimemsikia mwalekwa akila kiapo kuwa atatupasha habari sahihi kutoka mjengoni bungeni,dodoma.
 
Tutaimiss sauti yake sana. Sikubaliani na kuanzisha kituo chake mwenyewe.
Kila mtangazaji akianzisha kituo chake itakuwaje. Ina maana atakuwa anatangaza mwenyewe? Yaani Mengi naye akatangaze taarifa ya habari ama sijui wanajiita mahalatito (sina uhakika kama ndo jina sahihi la hicho kipindi chao). Kikubwa niaminicho kazi yoyote ina matatizo yake. Kuna watu fulani wanakubaliana na hali fulani na wengine hawakubaliani. Kuna wakati fulani miaka ya nyuma kidogo enzi za akina Charles Hilary asubuhi watu walikuwa wanakuta condom kwenye garden za ITV. Mabinti walikuwa wanamegwa kwelikweli. Wengine walikubaliana na hilo na wengine walikataa. Waliokataa green guesthouse waliondoka, waliokubaliana na hilo la kuvinjari kwenye garden za pale studio walibakia. So kila mtu huwa na sababu ya kuajiriwa na fulani na pia ana sababu ya kuacha kazi. Ajuae sababu ni mwajiri na mwajiriwa. Na tena nafadhali amekaa kimya maana kuanza kubwabwaja sio ustaarabu. Goodluck sis Regina Mwalekwa
 
Hata mimi hapo ndo ninapopata shaka, labda kama Clouds Media wanataka kubadili strategy yao!! Kwa ilivyo sasa ni bora usikilize Radio Uhuru FM (inayomilikiwa na CCM) kuliko Clouds FM.

Jamaa wa Clouds especially Ephrahim Kibonde, Gerald Hando na Gadner wamekuwa kama nyumba ndogo ya Mkuu wa Kaya!!

Mwee! Hebu waombe radhi hawa watu pls.
 
Namkumbuka sana Mike Roles (wa tatu kuanzia kushoto, aliyekaa chini), aliyekuwa MD wa kwanza wa ITV/Radio 1. Jamaa alikuwa KICHWA, lakini ali-resign na kutoa 24-hours notice, na mshahara wao wa mwezi mmoja akarudisha! Hakupenda mzaha! Ukitaka kisa chake, nitumie PM.

Jamaa alinibembeleza sana nifanye kazi nao, nilikataa, sipendi majungu, visa, visanga, ndumba, n.k.! Ukitaka kufanya kazi ITV/Radio 1, uwe na roho ngumu kama ya paka! We unadhani ni nini kilichowatimua Charles Hillary, Julius Nyaisanga, Mikidadi Mahmoud na wengineo? Kuondoka kwa Regina Mwalekwa hakunishangazi. Kwanza naona kachelewa!

Sishangai kwa Regina Mwalekwa kuhamia Clouds FM. Wasiwasi wangu ni je, atamudu? Maana style ya utangazaji wa clouds inaonekana kufaa kwa watu ambao siyo serious. Anyway!
 
Nafikiri ni wakati wa home boy wangu Mr. Mengi kumtoa yule mkurugenzi anayempenda sana amabye jina lake linaishia na Vile. Ukiona turn over kubwa namna hiyo kwenye organisation yyoyote ujue management ina matatizo makubwa haswa kwenye human resource department. Siamini kwamba wanokimbia wote ni wapuuzi ni lazima kuna blanders tu IPP MEDIA. Mkurugenzi gani habadilishwi tangu kituo kilipoanzishwa kwani amekuwa mtoto wa Mengi?
 
Milad ana sauti nzuri sana lakini kwa style yake ya kutangaza nadhani anafit zaidi hapo alipo kwa clouds atakuwa suplus to requirements unless mwekezaji mpya wa clouds Bw Manji ana mpango wa kuanzisha mfumo mpya ambao utamfit Milad
 
Back
Top Bottom