Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Kama ni kweli anaaminika kwa utumishi makini anaweza akachomoza hata kwenye radio za vichaa kwani ukichanganya mafuta na maji uchakachuaji utajidhihiri tu.
R.mwalekwa(first from left)
![]()
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Radio Clouds FM ni wabunifu na vipindi vyao ni vizuri tu.
Ukimsema mtu ukiona amekasirika ujue ujumbe umefika, clouds fm kupitia vipindi vyao vya power breakfast, leo tena na jahazi, wamekuwa wakiijulisha jamii mambo mbalimbali.
Binafsi naipenda clouds fm na nadhani regina mwalekwa ataongezea ubunifu zaidi ili kukonga nyoyo za wasikilizaji wa clouds fm. Na leo nimemsikia mwalekwa akila kiapo kuwa atatupasha habari sahihi kutoka mjengoni bungeni,dodoma.
Nitam-miss sana kwenye kipindi cha kiswahili...
Kuhama Radio One na kwenda Clouds ni ukosefu wa maarifa tu. unatakiwa uende Radio za juu sio Radio za kubahatisha!MILADI AYO naye anafuata soon....ITV & radio One utawala mbovu, majungu na chuki
Kaka, tangu 2010 hujatoa 'like' hata moja?Kwanza maslahi poa dada yetu kaza buti vinginevyo utakufa maskini,mbona wenzako walikwenda BBC,VOA na CNN lakini hawasemi saa ya kuchacharika ni sasa
Kaka, tangu 2010 hujatoa 'like' hata moja?