Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Wakuu hakuna anayekuja na taarifa kuwa hii habarini ya ukweli au ni uzushi wa mtaani maana namuona Invisible na Max humu

Mr Rocky msome maxence hapo chini
Last edited by Maxence Melo; Today at 12:36. Reason: Confirmed


 
Duh Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi
Taifa limepoteza mpiganaji mmoja shupavu sana
 
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.

Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake

mkuu umekuja na hbr nzito bt ueleweki na umetuacha kwenye dilema updates pliz
 
Last edited by Maxence Melo; Today at 13:36. Reason: Confirmed
 
Wakuu vp tena, mambo gani tena haya?, Mh. Regia? big NOOOOOOOOOOO?
 
kuna mtu kanithibitishia!!! Ni kweli regia mtema amefariki dunia
 
no bwana this cant be! There more who are suppose to die not you!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom