Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Kuna haja ya kufuatilia haraka na kupata uhakika. Kama ni kweli, hiyo ni kazi ya mungu. Sote tuko njia moja. R.I.P Regia. Ni juzi tu tulikuwa tunauchangamkia uzi wako bomba. Hili ni pengo kubwa sana kwa watanzania wote. Pumzika kwa amani mama.
 
Blaki Womani nimeona aise
Dah mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi
Mpiganaji shupavu ameodoka katika ulimwengu huu
Ni ngumu sana kukubaliana na hilo ila hatuna namna ila kumuombea kwa Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
R.I.P Regia Mtema
Mwenyezi Mungu aiweke mahali pema roho yako
 
mods

umefika wakati muafaka tupate kitufe cha masikitiko pale habari ya uzuni na yenye kusikitisha inapoletwa jamvini so tha it can balance with the like option

kama sina comment ya ku-post simply ningebonyeza kitufe cha masikitiko to show my sorrow

inasikitisha sana hii habari
 
Nimepiga simu makao makuu ni KWELI. Ni ngumu kupuokea na kuamini lakini hii ndio siri ya maisha yetu wanadamu......
 
Du, kweli sote tu marehemu watarajiwa!. Mungu ampe pumziko la amani, tutammiss bi Regina. Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Ndugu yetu mpendwa wetu mbunge wa Viti maalumu chadema Regia mTema amefariki Dunia eneo la Visiga mkoani Pwani.
amepata ajali hiyo leo wakati alipokuwa anelekea Visiga Taarifa za awali zinadai kuwa Marehemu ,alikuwa naendesha GARI MWENYEWE, mUNGU AIWEKE rOHO YA MAREHEMU REJIA MTEMA MAHALA PEMA PEPONI
 
yaaaah,...................... may God!!!..................... may i go back to those memories??................. if no, what can i do then??.................. i will miss you hon Regia Mtema................... JF will miss you............. the whole kilombero ................the whole Tanzania will miss you...............

yalaaaaaaaa,.................... nimekumbuka enzi zile akijulikana kama Gender sensitive!!................... dah!!............... RIP dear regina............ tangulia kamanda!!......................
 
HAKIKA SISI WOTE NI WAJA WA ALLAH NA KWAKE NI MAREJEO

''Kuna ajali imetokea Ruvu ambapo gari la mbunge maalum wa Chadema jimbo la Kilombero Regia Mtema limegonga coaster na kusababisha kifo kwa mbunge huyo. Taarifa kutoka Kibaha zinasema mida hii mwili wa mbunge huyo ndio unaingia katika mochwari ya Tumbi, Kibaha.'' SOURCE lukwangule entertainment
 
Status
Not open for further replies.
70 Reactions
Reply
Back
Top Bottom