Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.
Habari hizi zimethibitishwa.
Maneno ya Regia ya kufunga mwaka 2011 (Disemba 31, 2011)
gari yake imeg0ngana na lori,alipokua akijaribu kulipita lori lingne alilokua akiongozana nalo
alipokuwa anaovertake,aliyekuwa mbele hakumuonyesha mbele kuna gari?Inasikitisha sana,Hapana mkuu alipo kuwa ana overtake alikosea timingn ghafla akaona gari mbele yake ikabidi ahame barabarani na kusababisha gari kupinduka
Sad news,maneno hadi yanakosekanaMhe Regia alikuwa na dada ambae alimsaidia kazi zake ndogondogo,ambae walikuwa wote nae amefariki mida hii,yeye alihamishiwa Muhimbili,idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali imefikia wawili sasa.baada ya taarifa hiyo hapa nyumbani palipo na msiba watuwote walijawa na simanzi.
Mkuu hapo penye kuhusu ajali, ni kweli hizi barabara zetu unahitaji uangalifu wa hali ya juu especially on long trips, na madereva wa big tucks, mabasi na semi trailers...
Nimeendesha hizo bara bara na unatakiwa kuwa makini all the time...Huo ni upande mmoja.
Upande wa pili, ni kwamba sintoweza kusema mengi kwasababu bado tuko msibani, lakini otherwise ningekuwa na maswali mawili matatu ie je hilo gari lilikuwa well equiped for a person with disability to personally drive? Tatizo hilo linaweza kuwa kubwa zaidi kama ni a long trip.
Pili uamuzi wa kuendesha mwenyewe ulikwa mzuri? Je angekodi dereva kama wa kwake alikuwa na matatizo?
So unaweza kuona kuwa inaweza kuwa a combination of factors, tegemea na aina ya ajali, lakini mojawapo ya factors ni barabara na madereva wengine waendesha hovyo, pia sometimes maamuzi yetu sisi wenyewe.
josephine Mushumbusi