poleni viongozi waandamizi wa chadema, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, wanachama/wapenzi wa chadema, wanamorogoro, wazalendo wa tanzania lakini zaidi sana wanafamilia ya marehemu, Regia umetutoka mapema mno, pumzika kwa amani, kwa ahadi ya mungu, na iwe pema peponi tuseme amen.