TUWE MAKINI SANA NCHI HII MAANA WANAHARAKATI WANAKWISHA SIKU HADI SIKU NA WIMBI LA AJALI NDO LINALOWATEKETEZA ZAIDI,NAKUMBUKA WABUNGE NA MAWAZIRI KIBAO WENYE NIA NZURI NA MAENDELEO YA NCHI YETU. mungu awasamehe zambi zao lakini mbia wanaozua majanga kama hayo kwa nguvu za giza wajue adhabu yao ipo... POLENI SANA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WA MAREHEMU... "MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU... AMINA"
....Mungu wangu, machozi yananitiririka hapa nilipo. Regia, Regia jamani siamini jamani kifo hichi!!! Eeee Mungu Baba mpe pumziko la milele dada yetu. Bwana alitoa na Bwana ametoa jina la bwana lihimidiwe.
It is with deep sorrow that Regia Mtema has died before accomplishing her mission. My condolences to all members
of her family and everyone who has been touched with this loss. We will remember you forever. R.I.P
MUNGU ailaze pema peponi nakulilia kwa kukufahamu hapa JF sijawahi kuona sura yako zaidi ya kukuona kwenye Luninga ukipigania nchi yako ,Naamini Umetangulia kwa mema MUNGU AIWEKE ROHO YAKO PEMA PEPONI
Ni kweli,
Regia hayupo tena,
Regia mpendwa,
bado sijaamini,
sijui nisemeje,
Regia...
Upumzike kwa amani,
natamani kurudisha muda iwe jana lakini ni mapenzi ya Mungu kututenganisha mpendwa wangu.
Pumzika mama
Dah! Ni habari za mstuko mkubwa kwetu sote Wana-JF kwani alikuwa mchangiaji mkubwa kutupa habari za harakati za CHADEMA kumkomboa mwananchi kutoka kwa wale wasiowatakia maisha bora Watanzania.
Pia nawapa pole ndugu wa Mh. Mbunge Regia Mtema na kuwa tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Mwenyenzi Mungu amlamze pema peponi mpiganaji Mh. Regia Mtema, Amen.