Poleni kwa familia ya marehemu, poleni sana Chadema, poleni sana wana JF wenzangu na pole iende kwa taifa letu kwa kumpoteza mpiganaji.
Inasikitisha sana kwa kweli. Tumekupoteza wakati ndio kwanza mpambano umeanza na mchango wako utakumbukwa daima.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoni.