Mbunge wa viti maalum Chadema, Regia Mtema amepata ajali maeneo ya Ruvu Darajani mkoa wa Pwani na kufariki dunia zaidi msikiliza RTO wa mkoa wa pwani akitoa taarifa kamili
regia pumzika jana tumemzika dr kibatala miongoni mwa wazawa wa kilombero na alikuwa daktari jabali wa upasuaji....tulikuwa wote wale muhimbili kumuaga katika safari yake ya mwisho..leo wewe umekwenda.....utaniliza sana regia why did u do this to me....daaah pumzika bana