Reflection yako

lila

Member
Aug 7, 2012
38
5
Habari pple,,,,,,,

Watu hua wanakua na tabia tofauti tofauti kutokana na malezi,mazingira aliyokulia may be??but all in all mambo tunayofanya na tabia zetu hua zinakuja kutokea kwa watoto wetu ama kizazi kinachofuatia,,mnakubaliana na mimi,??sio watoto wote watachukua tabia zako hapana lakini at least mmoja kati ya hao atareflect mambo uliyokua unayafanya wkt wako eg ulevi,,uzinzi,,upole,muongeaje,,jeuri nk.,,Nlishasikia pia sanyingine mtoto aliepewa jina la babu ama bibi wanasema anakua na tabia za yule mtu,,,,,,,,,Then mtt anapofanya yale ambayo yankuchukiza unalaumu nakushangaa huyu mtt ametoa wapi tabia hizo coz ulishasahau uliyoyafanya nyuma.

So pple lets watch our doings na watoto wetu wasije wakafanye yale ambayo hayatatupendeza..
 
Yah,,naksiaga vile
 
Ya na tabia ya kurithisha watotot majina siipendi kabisa labda nihakikishe aliyetangulia hakuwa na kasoro kubwa kivile
 
Topic ya aina hii ilipata kuletwa hapa enzi zetu na bwana aliyeitwa MTM.

Kibaiolojia binadamu ana uwezo wa kuhamisha baadhi traits za tabia kwa kizazi chake, japokuwa kuna tabia ambazo haziwi carried along with traits. Vitu km ulevi ni maamuzi ya mtu tu.
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa mtoto anaiga au kucopy tabia nyingi azionazo kwa wazazi na ndugu zake na zinakuwa zake kabisa.
Kwa hiyo, nikikaa sasa km mzazi nasema kwamba we are carrying with us our children's destiny, just by our Do's and Don'ts!.
 
PakaJimmy, ulevi unarithiwa. Mtoto akiwa tumboni anapata feelings na kusikia pia, so we believe. Lakini pombe wakati wa ujauzito inakatazwa kabisaa! Manake inamfikia mtoto, anakua na addiction (nimetoka kusoma painkillers addictions. Kenya recently kumekuwa na watoto wamezaliwa na glue addiction).

Scientifically, it is believed mtoto aliebebwa mimba kwenye magomvi anakuwa mgomvi. Kuna tabia za aina mbili, za kurithi (genetically) na za kuiga (acquired characters).
 
Last edited by a moderator:
Topic ya aina hii ilipata kuletwa hapa enzi zetu na bwana aliyeitwa MTM.

Kibaiolojia binadamu ana uwezo wa kuhamisha baadhi traits za tabia kwa kizazi chake, japokuwa kuna tabia ambazo haziwi carried along with traits. Vitu km ulevi ni maamuzi ya mtu tu.
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa mtoto anaiga au kucopy tabia nyingi azionazo kwa wazazi na ndugu zake na zinakuwa zake kabisa.
Kwa hiyo, nikikaa sasa km mzazi nasema kwamba we are carrying with us our children's destiny, just by our Do's and Don'ts!.

pj naomba link au tittle ya hiyo thread.
 
Back
Top Bottom