Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,672
- 971
Ukitaka kuckiliza fyongo, utumbo, tune hii station, Ndo utajua kuwa ni ya Kihuni + Kitoto, maana nchi hii ina mambo mengi ya kujadili tena ya msingi ambayo hata hao watangazaji yanawagusa moja kwa moja, lakini sasa cha kushangaza wao wanakua mashabiki wa matatizo ya nchi hii utadhani wao wanatoka nchi jirani, JAMANI TUTAFIKA KWELI KWA STAILI HII MAANA NI MIAKA HAMSINI SASA YA UHURU. uwiiiiiiiiiii akh ya mungu!!!!