Redio Clouds na mambo ya kitoto

Redio Clouds na mambo ya kitoto

tatizo sio clouds
tatizo ni kutokuwepo kwa serious media kwa ujumla
 
tatizo nini kwani ingeshinda wasinge sema?acha ulimbukeni wewe mangapi wameyasema mazur ya man u? leo waongee ya man u kufungwa yakukele .km upendi c lazima usikilize
 
Kukumbushana mambo ya mipira kazini!!!!!!!, kama kweli na we unafanya hivyo basi unapata mshahala wa bure; itabidi uundiwe tume.

kwa watz wengi kila siku wanaanza kazi kwa kupeana taarifa zilizotokea jana hata kama kwa njia ya utani wewe uko dunia gani, sababu yaelekea wafanyakazi katika mazingira ya kusimamiwa na kama si kwa wahindi basi msimamizi wako atakuwa mkenya maanake hao hawapendi hata dakika moja akuone umesiamama
 
Redio clouds leo imedhirisha kwamba hipo kimzaamzaa kwa kuendekeza mambo ya kitoto yasiyokuwa na msingi wowote ususani ktk kumuendeleza mtanzania kifikra na kadhalika kiuchumi:

Tangu asubuhi wanajadiri kufungwa kwa Manchester united na Barcelona juzi kana kwamba hakuna mtu aliyeshuudia mechi hiyo. Yapo mambo mengi ya msingi ambayo yangeweza kujadiliwa na kuweza kuleta mabadiliko ktk jamii mfano:- Usafi wa jiji, mbinu mpya za ujasiliamalii, ajari za barabarani n.k,

Hao akina Mhando na wenzie hayo mambo hawayaoni, wanabaki studio kuchekacheka na kubana pua kama machangudoa utafikiri kuna aliyewaahidi kuwapa Bia za bure kwa kushangilia Barcelona kwenye Studio.

Kwakweli sijafurahia mambo wanayoyafanya kupitia hii Redio, hakuna amabaye hakuna kwa jinsi Manchester ilivyofungwa na wala Clouds wakichonga sana Barcelona hawawezi kuwatambua bali nikukosa ubunifu wa kutumia Vyombo vya habari.

.

pole ndugu yangu, naelewa fika kabisa we inakuuma kwa kichapo cha Man u, usijal siku sio nyingi machungu yatapungua.
 
Tatizo nyie madogo mnapenda watu wote wafikiri kama mnavyofikiri nyie!
Kule kwenye jukwaa la siasa ukiongelea kitu kinachotofautiana na Chadema ni matusi hapo hapo!
Mbona huboreki watu wanapozungumzia chadema tuuuuuuuuu!

Kama unavyohama jukwaa JF, basi pia badili pia stesheni ya radio sio kuja kutukana humu!
 
Redio clouds leo imedhirisha kwamba hipo kimzaamzaa kwa kuendekeza mambo ya kitoto yasiyokuwa na msingi wowote ususani ktk kumuendeleza mtanzania kifikra na kadhalika kiuchumi:

Tangu asubuhi wanajadiri kufungwa kwa Manchester united na Barcelona juzi kana kwamba hakuna mtu aliyeshuudia mechi hiyo. Yapo mambo mengi ya msingi ambayo yangeweza kujadiliwa na kuweza kuleta mabadiliko ktk jamii mfano:- Usafi wa jiji, mbinu mpya za ujasiliamalii, ajari za barabarani n.k,

Hao akina Mhando na wenzie hayo mambo hawayaoni, wanabaki studio kuchekacheka na kubana pua kama machangudoa utafikiri kuna aliyewaahidi kuwapa Bia za bure kwa kushangilia Barcelona kwenye Studio.

Kwakweli sijafurahia mambo wanayoyafanya kupitia hii Redio, hakuna amabaye hakuna kwa jinsi Manchester ilivyofungwa na wala Clouds wakichonga sana Barcelona hawawezi kuwatambua bali nikukosa ubunifu wa kutumia Vyombo vya habari.

.

Barcelona-celebrate-winni-006.jpg
 
Anzisha radio yako.
 
Mkuu this is a radio for teenagers. Unless, you are a teen, sioni umuhimu wa kuspend muda wote huo kusikiliza hiyo radio. Ziko radio kibao tuu za rika lako.
 
Wamejisahau na kusahau weledi wa mtumishi wa chombo cha habari......kutokuwa mbinafsi na unapochomekea ubinafsi lazima utangaze maslahi ili wateja wakupime kwa ulemavu wa mapenzi yako...vinginevyo wangekuwa wanamoderate maoni ya wasikilizaji wao na si wao kuwalisha mawazo-uchwara yao.
 
hiyo ni redio ya burudani bana wanachofanya ni sehemu ya burudani, cha msingi ni wewe tune station nyingine tu mkuu.Au radio yako inapa clouds fm pekeyake
 
sikilizeni redio za kiingeraza kama Choice fm na Kiss fm.watangazaji wake wanapiga kiingereza kwenda mbele.Hii itawasaidia ktk soko la Afrika mashariki.
 
jamani kwani ulilazimishwa ku tune hiyo redio, unachonishangaza vitu vina kukera
na bado unang'ang'ani kusikiliza.....we vp bwana.
 
sikilizeni redio za kiingeraza kama Choice fm na Kiss fm.watangazaji wake wanapiga kiingereza kwenda mbele.Hii itawasaidia ktk soko la Afrika mashariki.
Huu ndio upeo wako wa juu kabisa kufikiri? hii ni hasara na mzigo kwa Taifa.
 
kwa watz wengi kila siku wanaanza kazi kwa kupeana taarifa zilizotokea jana hata kama kwa njia ya utani wewe uko dunia gani, sababu yaelekea wafanyakazi katika mazingira ya kusimamiwa na kama si kwa wahindi basi msimamizi wako atakuwa mkenya maanake hao hawapendi hata dakika moja akuone umesiamama

Inawezekana mawazo yako yakawa na maana fulani kwa watu fulani na wewe ukiwemo kwani inaonekana unauzoefu mkubwa kwa Wa-indi na Wa-kenya: kwa taarifa yako mi c-mtu wa kuajiriwa na watu wenye elimu za mdomoni kama mabosi wako waindi na wakenya: mi ni Professional bwana, kama ujui maana ya professional muulize huyo mkenya rafiki yako atakuambia
 
Kila siku waongelee mambo 'ngumu kumesa'? inachosha kiongozi watu wameamka na mining'inio wanataka warefresh...yaani na utoto wao ukaendelea kuwasikiliza tu? kweli wapo juu.
 
I like clouds kwa mizaha intufanya tuna relax na stress za maisha, ambao mko serious sikilizeni radio zenu mbona choice kibao siku hizi. Mmekuwa serious for 50yrs na bado fikra zenu hizo hizo, mnataka tusikilize today in perspective.

Wabongo ndio tulivyo na ndio maana babu loliondo kafunika kuliko bugando, vitu serious vimefeli kuwasaidia wabongo mizaha imeng'ara zaidi.
 
Ni uchungu wa kufungwa tu! hata mie ni Man U. Wewe ungetune radio nyingine wala usingepata hiyo karaha ya "utoto"
 
Back
Top Bottom