Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

kibonde ni anaropoka sana akitegemea atapewa udc kumbe anatumiwa kama kondomu au toilet paper.
 
Huyu jamaa huwa anapata akili wakati anachangia ishu ya waislam, kwani anajua watamfanyaje.
Lakini wachungaji huwa anawatukana anavyotaka.
Hii inadhihirisha anafanya makusudi, na anatafuta ukuu wa mkoa au wilaya kwa kujipendekeza.
 
Betty Mkwassa
Muhingo Rweyemamu
Novatus Makunga
Ahmed Kipozi
Sara Dumba

who is next?
 
nilikutana nayo hiyo mada wakati. najaribu kutafuta radio station nikawa interested nimesikiliza kwa kifupi,kama kawaida ya Kibonde alikuwa ameongea kwa muda mrefu kuliko wenzake mtazamo wake ilikuwa kuitupia lawama Chadema. juu ya kuanzishwa red brigade, Musa ikawa zamu yake kutoa maono yake, kama sikosei akaelezea kuwa jeshi la polisi limekurupuka juu ya kauli ya chadema alitaka kueleza kuwepo kwa green guard tangu awali na hakuna lolote limesemwa juu ya hilo kutoka kwa polisi, na alitaka kueleza hii ni kama double standard. hapo sasa Kibonde hakutaka Musa kumpa tena nafasi aongee. akawa anamkatisha asiendelee hadi kibonde amalize yake ambayo hayakwisha ikawa kama zogo. hadi likawekwkwa tangazo la biashara. kufunika kombe...akaja na porojo nyingi mara Nyerere alisema katika usuluhishi dont point finger nafikiri alikuwa ana maana Musa asiilaum jeshi la polisi kwa kutowajika mapema hadi mambo yanaharibika, mara akasema vyama vyote vinamakosa wala wanasiasa wasituvuruge, Musa hakupata nafasi ya kuongea kabisa,

My take
Kibonde ni wale watu wa buku 7
 
Aliwahi kugombea udiwani kwa tiketi ya ccm Ubungo Makuburi akaukosa basi mpaka kesho analala akiota labda mkuu wa nchi atamzawadia hata ukuu wa wilaya tu!
 
Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo

Nilikuwa nasikiliza pia huyu jamaa anajiona kila kitu anakijua lililonichefua zaidi alikuwa anataka aongee yeye tu mwanzo mwisho!! Nafikiri anataka UDC ndo unaomsumbua watangazaji njaa kama hawa hawafai kwenye jamii!! Ni bora na mtangazaji Zembwela aliyekuwa komedian lakini kawa mtangazaji na anajaribu kuonyesha kuwa alikuwa na uhitajika mkubwa na kachelewa wapi
 
Sikuwahi kujua huyu jamaa anachukiwa hivi.

Haya Ni maoni tu ya watu wachache Na kibonde ameipandisha sana chat clous. Kumbuka yeye hutumia Mfumo tofauti kuwasilisha Habari , Na inabidi kuuelewa vizuri kabla ya kumshambulia Na kuchochea chuki dhidi yake.
 
Who is Kibonde by the way?turudi kwenye mada wadau,tushamtambua jamaa kitambo sana
 
Kibonde ni mshamba, na ana tabia za kichokochoko, si unajua machoko zao! Nikama bata yan tym yoyote anaharisha!!
 
Hata mimi nilimsikiliza kanitia ghadhabu sana,eti kang'ang'ania JAMBO LEO kwa kuwa liko biased basi ndo kafika huo ukuu wa wilaya utaupata tu ila radio ndo itakuja kuwa kama RTD kuisikiliza labda kwa mtutu wa bunduki.
 
Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo

In most cases Mussa Hussein anakuwa na arguments zinazobeba mawazo ya wengi mtaani. Ila Kibonde ni MAJANGA! Huwa hafikiri kabla ya kuongea.
 
Musa ni mtoto wa kitaa. Anajua mpaka utumbo wa kuchoma sh 100 kipande na na supu ya hashua(pu*bu) sh 300 kwa bakuli pale uwanja wa fisi. Kibonde na u kada wake atamuweza wapi!

In most cases Mussa Hussein anakuwa na arguments zinazobeba mawazo ya wengi mtaani. Ila Kibonde ni MAJANGA! Huwa hafikiri kabla ya kuongea.
 
Back
Top Bottom