mke mwenza since when katiba unaipanga wewe??? Hakaguliwi mtu, nimerudi mwenyewe! Haihuuuuuuu kuleta watu wasio na tbs kwenye damu yetu, ebo!inabidi kupanga mpango mkakati wa kumkagua huyu, subiri nicheki kalenda then nimpangie tarehe
infact yupo juu kupita twin towers!! Nampendajeeeeee?? Leo nitaongeza mapenzi mpaka akinai, ngoja aje ndani!
Akamate mop, aanzie mkondo nungwi!! infact kama nungwi haimfai aanzie mkondo banguela!Kwa Dekio lipi hasa? chezeya? haha
kwi kwi kwi kwi! u r one of its own! SALUTE KWAKO SHEMEJI!! always friends!!Basi usinisahau katika ufalme wako shemeji! Sema AMEN!
haachwi mtu hapa! hata wanafunzi wake mwalimu gfsonwin walipokuwa barazani, upepo mkali ulivuma na ghafla cacico alirudi kwa mumewe mpendwa Asprin, baadhi ya wanafunzi wenye visirani na hasira walikunywa sumu, wengine walimeza viwembe, wengine waliwahi ocean road kuanza kudeki BAHARI!! wote semeni AMEN!
Kwa vile ni mie mwenyewe kwa hiari yangu nilikuachia huyu Asprin basi ntampigia...sasa lakn Bujibuji itakuwaje? sipendi aumie juu yako....Zion Daughter mzima?? mpigie uniombee msamaha! ni laana kuachana na mume wa ujanani jamani!! mi luv my Asprin uwiiiiiiiiiiiii naweza kufa mjue!
Vin Diesel jana nilikuwa nimepungwa mapepo na hayakutoka, leo NIMETAKASIKA!! NIMERUDI NIKIWA MZIMA MWILI NA ROHO! najilia vyangu na mtu mzima mwenzangu Asprin!! inahuuuuuuuuu KUACHANA SAA HII!!?nakupa muda tu na wewe utarudi na sredi la malawama.....usijali tutakupokea
Achana na mambo ya waganga bwana.shemeji hapa nafungasha kwenda kwa babu, nataka pua ya Bujibuji ihamie kisogoni....haiwezekani aharibu faivusamu
na siku ya tatu akafufuka!! Bujibuji dear, nakukabidhi Zion Daughter rasmi!! mpaka kifo kitakapowatengenisha! naomba jamvi zima liseme AMEN!
He!!!!! Kweli jamvi la msibani halifai harusini.na siku ya tatu akafufuka!! Bujibuji dear, nakukabidhi Zion Daughter rasmi!! mpaka kifo kitakapowatengenisha! naomba jamvi zima liseme AMEN!
Vin Diesel jana nilikuwa nimepungwa mapepo na hayakutoka, leo NIMETAKASIKA!! NIMERUDI NIKIWA MZIMA MWILI NA ROHO! najilia vyangu na mtu mzima mwenzangu Asprin!! inahuuuuuuuuu KUACHANA SAA HII!!?
hubby wangu atanijibia hapa! Mzima wewe lakini??he!!!!! Kweli jamvi la msibani halifai harusini.
Haya mama, nenda mwana kwenda tokomea mwana kutokomea, lakini mimi nakupenda tu
amen my kaka, amen!ni wakati wakoooooo,sasa ni wakati wako.
Mi mzima sana, wanasemaje wale 3C?hubby wangu atanijibia hapa! Mzima wewe lakini??