realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,387
Ngojeni niolewe mtanikoma 😅Eeeh hii fursa hii
Ngojeni niolewe mtanikoma 😅Eeeh hii fursa hii
Umechelewa sana 😅😅😅Achana nae huyo njoo tuyajenge tuone tunafanya je
Asante KipenziPole sana
Kutangulia si kuwahi rafikiUmechelewa sana 😅😅😅
Kwani kuna shidana wew tena unamtaka?
Acha tumtake wote, maybe nitafanikiwa mimina wew tena unamtaka?
naona vita ya tatu ya dunia hapaKwani kuna shida
Hakuna kitu kama hichonaona vita ya tatu ya dunia hapa
Ushafanikiwa wala usiwazeAcha tumtake wote, maybe nitafanikiwa mimi
Aolewe kwani yeye mwanamke?Ataolewa na nani kwa komwe lake hilo?
Kuna anayekusumbua?Asante Kipenzi
Mie AHADI yaangu imetupwa?Ngojeni niolewe mtanikoma 😅
Uko slow sana babaMie AHADI yaangu imetupwa?
Wengi tu wachokoziKuna anayekusumbua?
Mmmh nilishaanza kuandaa wazee wakuja milimani huko kama nilivyoelekezwaUko slow sana baba
WakimbieWengi tu wachokozi
unajua kupigana kwel?Acha tumtake wote, maybe nitafanikiwa mimi
Umesubiri hadi wengine wajitokeze live ðŸ˜Mmmh nilishaanza kuandaa wazee wakuja milimani huko kama nilivyoelekezwa
Wee shem em sema kweli?Baba mtakatifu91 ni mtoto wa shule ujue. Miaka 30 jela inakusubiri