min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,670
Uvuvi haram tu , kujivua gamba sidhaniMambo ya kujivua gamba hayo na kuja ukiwa mpya sio
Uvuvi haram tu , kujivua gamba sidhaniMambo ya kujivua gamba hayo na kuja ukiwa mpya sio
Nakunywa makali hatari , usije jikojolea😅Nakuja tunywe wote 😝
usinisahau kwenye kamati ya chakula kwenye harusi yenuKaribu ofisi ya prime minister iko wazi
Achana nae huyo njoo tuyajenge tuone tunafanya jeSijaolewa kaka karibu sana.
na wew tena unamtaka?Achana nae huyo njoo tuyajenge tuone tunafanya je
Good kidAtaolewa na nani kwa komwe lake hilo?
MnatuchanganyaMkuu huna uvumilivu ulimwanzishia cocastic uzi umemwacha binti wa watu kwenye mataa
Hahahaha, Hivi ni kweli wanakua hao mnaowasema ?Kabisa hii mibwabwa ina ulaghai sana. Ina IDs nyingi humu kama wanawake na kuja kujisifia... Hydroxoion na adritzian hao
Tumekataa kuhukumiana hapa Jf ila cocastic ni bintiMnatuchanganya
Coca ni me au ke?
Bora umeuliza Mkuu,tupate JibuMnatuchanganya
Coca ni me au ke?
Pole sanaNachukia sana mtu akisema I'd yangu Ina nyingine kwa sababu Huwa sipendi mambo ya kijinga pamoja na kupenda kuenjoy
Eeeh hii fursa hiiSijaolewa kaka karibu sana.
wanatupa wakati mgumu tukiwa tunafanya sensa.Bora umeuliza Mkuu,tupate Jibu
Kutambua jinsi ya mtu si kuhukumu. In fact ni heshima.Tumekataa kuhukumiana hapa Jf ila cocastic ni binti