Ayatollah the Bird
Member
- Jul 30, 2026
- 68
- 180
Ninaulizia tuh nipange harakati za kukufikia la mama.maana ww wa moto sana.
Ninaulizia tuh nipange harakati za kukufikia la mama.maana ww wa moto sana.
Karibu ofisi ya prime minister iko wazi😂😂😂 mie nakutaka wewee.
Hii ni michezo ya kundi la wakina nembe na maji maji FC😁😁😁View attachment 3644171
Hii mbinu ya kuanzisha ID nyingine kisha unaanza kujipigia promo kwa ile ya zamani watu wameshashtukia sana huu mchezo. Wewe ni mwenyeji sana humu ndani. Unajipigia promo ID yako ya zamani ili utapeli watu?
Hii ni michezo ya kundi la wakina nembe na maji maji FC😁😁😁
Nimewahi kukutana na wewe au unanitafuta?Ataolewa na nani kwa komwe lake hilo?
I'd yangu iheshimiweView attachment 3644171
Hii mbinu ya kuanzisha ID nyingine kisha unaanza kujipigia promo kwa ile ya zamani watu wameshashtukia sana huu mchezo. Wewe ni mwenyeji sana humu ndani. Unajipigia promo ID yako ya zamani ili utapeli watu?
Hii picha bado ni 6min ago na umeituma asubuhi
Mwenzako anauliza umeolewa?Sijaolewa kaka karibu sana.
SeenHii picha bado ni 6min ago na umeituma asubuhi