Real mamy umeolewa au bado?

Real mamy umeolewa au bado?

Lile kundi la wale mapapai limevamia uzi na kumu attack mleta mada,
Sijui hua wanaona wanawake wanawazibia riziki?

Au sijui wanataka wauliziwe au watongozwe wao? Hata kama mleta mada kaanzisha ID mpya ili afunguke,kuna ubaya gani? Nyie michicha miba mtapigwa miti msipoacha shobo.
 
I'd yangu iheshimiwe
Haihusiani na ID yoyote umesikia.
Kama mtu ameamua kuandika vitu anavyojisikia
Usinihusishe mimi.

Nijipigie promo Ili iweje labda
Hebu waambie Mods kama Kuna ID nyingine inayohusiana na mimi?

Jiheshimu

Kuanzia Leo sitaki mpumbavu yeyote ahusianishe ID yangu na nyingine Mnikome.
realMamy nakupenda sana we mtoto.
 
Back
Top Bottom