realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,387
Kuulizia si vibaya bro.Ninaulizia tuh nipange harakati za kukufikia la mama.maana ww wa moto sana.
Nchi yetu ni huru sana.
Kuulizia si vibaya bro.Ninaulizia tuh nipange harakati za kukufikia la mama.maana ww wa moto sana.
Wanakosea sana dada ukute mtoa mada yupo seriouslyI'd yangu iheshimiwe
Haihusiani na ID yoyote umesikia.
Kama mtu ameamua kuandika vitu anavyojisikia
Usinihusishe mimi.
Nijipigie promo Ili iweje labda
Hebu waambie Mods kama Kuna ID nyingine inayohusiana na mimi?
Jiheshimu
Kuanzia Leo sitaki mpumbavu yeyote ahusianishe ID yangu na nyingine Mnikome.
Kwamba ID yangu ni ya huyu mtu?Hii ni michezo ya kundi la wakina nembe na maji maji FC😁😁😁
Sina karibu sanaAma una baba wa mjengo huko
Sawa mrembo nakuja nikuhudumieSijaolewa kaka karibu sana.
No sio wewe ,kuna madogo fulani humu na michezo ya kuanzisha vi ID vipya na kutarget watuKwamba ID yangu ni ya huyu mtu?
Baba mtakatifu91 ni mtoto wa shule ujue. Miaka 30 jela inakusubiri😂😂😂 mie nakutaka wewee.
Upinzani umekua mkali sana bwasheeWatu wameamua kuwa straight hakuna kona kona tena!
Karibu sana 😅Sawa mrembo nakuja nikuhudumie
Wachokozi tuUpinzani umekua mkali sana bwashee
Mangi kama kuna mahali umetega ujue kuna vita kali sana inakuja...ongeza ulinzi bwashee!Upinzani umekua mkali sana bwashee
Nachukia sana mtu akisema I'd yangu Ina nyingine kwa sababu Huwa sipendi mambo ya kijinga pamoja na kupenda kuenjoyNo sio wewe ,kuna madogo fulani humu na michezo ya kuanzisha vi ID vipya na kutarget watu
Upinzani umekua mkali sana bwashee
Bwashee, hali ni tete sana 😅Mangi kama kuna mahali umetega ujue kuna vita kali sana inakuja...ongeza ulinzi bwashee!
Una kitu, una kitu we binti!!Nachukia sana mtu akisema I'd yangu Ina nyingine kwa sababu Huwa sipendi mambo ya kijinga pamoja na kupenda kuenjoy